Shafi_Abeid
Senior Member
- Nov 14, 2014
- 188
- 107
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi alikatwa mtu mmoja tu au zaidi ya watu 30??????
Kamati ilitoa ripoti ya ovyo sana. Huyu mzee amezeeka hadi ubongoni, ripoti ya ovyo ndo ikoje
Hivi alikatwa mtu mmoja tu au zaidi ya watu 30??????
si tu kua hawakua serious ila inaonyesha ilipangwa kimkakati ili iwe rahisi kumchinjia lowassa baharini. na wao wanashikilia walikua wengi na tumewakata wengi na hakukuwa na malalamiko kwa nn alalamike yy tu. hii yote ilikua strategic ili wahalalishe waliokua wanataka kuyatenda na mwisho wakayatendaUkiona hvyo ujue wengine hawakua siriaz na huo uraisi.
Tunataka mambo kwa uwazi kama hivi ,hii habari ya kulalamikia katika chama ndio matatizo huanzia hapo.Kama chama kimekwambia mfuchiane siri ili kukilinda chama mtashiriki wizi na mtalindana kwa mas looplah ya chama wakati Wapo wananchi wasiokuwa na chama..
Hoja yako haina mashiko ndugu. Huwezi kuwa batili kwa sababu tu huamini wala kufuata dini na miungu wa kigeni.Hata Kingunge mwenyewe ni batili. Mtu gani haamini wala biblia takatifu wala Quran tukufu. Tunajua kwa nini anashabikia hiyo kambi sababu ni kwamba mwanaye Kinjekitile ni msafirisha madawa ya kulevya mkubwa. Na katika wagombea ambao wangemsaidia wasimkamate mwanae ni Lowassa tu kwa sababu naye ni Fisadi.
Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu ktk kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi isiyowahusu kikatiba - kukata majina ya wagombe.
Kingunge amesema Kamati ya Maadili ya CCM yenyewe imekosa maadili ya kuheshimu katiba na taratibu za chama.
Amesisitiza Kamati ya Maadili haikuwa na madaraka ya kupeleka majina 5 kwenye kamati kuu, ambayo ilipaswa kuhoji wagombea wote 38.
Kwa mujibu wa Kingunge, Kuna baadhi ya watu waliamua kuitumia Kamati ya Maadili kuandaa watu wao na kuwakata wengine kwa sababu zao.
Well said Mr. ZeroCCM hawajawahi kufuata sheria au taratibu kwenye mambo makubwa.... kuwa wanaangalia upepo unaendeje!! Huyu mzee anatakiwa kulijua hili vizuri kabisa kwa vile amekuwa part ya maamuzi ya design hizi ndani ya CCM kwa muda mrefu!!!!