Tetesi: Kingunge na Mwapachu wanataka kurudi CCM

Hizo tetesi zako nafikiri uko ndotoni
 
Spinning Dictors.......na UDA ni ya nani....????audited report ilitaja majina ya wakurugenzi....???
 
...tabia ya kipuuzi sana,unajitungia stori,unaleta huku halafu unaiita tetesi.
 
Hawawezi kurudi.
Wale ndio wazee wangu waliobaki. Wachache walio na msimamo.
Wanastahili tuzu.Sio kina Wrioba,ppol pole ambao wanafikiri hakuna maisha nje ya kijani
 
wewe vipi!.. hiyo habari umesikia wapi? wanarudi wapi wakati ndio majipu ndani ya ccm bahati nzuri yakageuka nyumbu kufuata malisho.
 
Hawawezi kurudi.
Wale ndio wazee wangu waliobaki. Wachache walio na msimamo.
Wanastahili tuzu.Sio kina Wrioba,ppol pole ambao wanafikiri hakuna maisha nje ya kijani
Nimeipenda sana hii
 
Taarifa zilizopatikana wapi? Na mwingine naye akija humu na taarifa zake za wao kutorudi CCM itakuwaje?
 
Warudi kufanya nini kwenye chama cha mafisadi
 
Hawana njaa kama wewe,kwanza wewe ni mtoto wa mama yaani kula kulala,hujui hata bei ya chumvi.
 
CCM wapokeeni tu, kwani nafasi za kusafisha maliwato hapo Lumumba hazipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…