Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kikuu message imefika. Hii message ilikua ya kinje. Naomba tafuta picha ya mke wake uje apa

Shida mnataka vidada vya mjini vikiwatenda mnakuja kulia lia. Sasa mwanamke wa miaka 23 akupende we mzee kwajili ya maini yako au? Ebu kuweni serious wanaume jamani vitu vingine mnajitoa tu fahamu umezaa na mdada mdogo mara mbili kwako ulilidhani kafuata nini?

Hoja yangu ilikuwa hapa.
Hawa ndo wale wanaume akina sie tunaoshinda kanisano hatuna makalio mnatuona washamba mkiumizwa mnaanza wanawake wabaya hapana wanawake uliochagua ndo wabaya
 
Hawa ndo wale wanaume akina sie tunaoshinda kanisano hatuna makalio mnatuona washamba mkiumizwa mnaanza wanawake wabaya hapana wanawake uliochagua ndo wabaya
Ila ninyi wa makanisani ndio hatari kabisa, bora hata wale wa bar
 
25 mwisho, huko juu ni machozi na damu lazima pesa zihusike..!!
Miaka 25 na miaka 34, mwanaume mbona muonekano wake unakua ule ule haujatofautiana sana, halafu kwa sisi wanaume wengi miaka 21-25 unakua bado uko chuo unategemea kula ya shikamoo toka kwa wazazi, na ukioa mke atahitaji matunzo, huoni shida hapo Lamomy
 
Bora Ata wewe 21-25 ulikua Chuo mimi miaka 25 nilikuwa formthree
 
Kinje kama kinje kaongea

Akiongea na Radio moja pale SA

Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda
Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote.

"Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza kua mtu Bora kwako"

Kinje katolea mfano matajiri wanavyopoteza utajiri wao dunia nzima hasa kwa watu ambao hawakuchangia wala kuhusika chochote kwenye utafutaji.

Kasema Yuko makini Sana na kizazi hiki cha wanawake matapeli wa Mali za wanaume.
Baadae Nitaweka mahojiano yake yote mpate kusikiliza.
kinjekitile ngwale bukelo
 
Back
Top Bottom