Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Hili Jina ndo naliona hapa! Miaka ya nyuma watu wa moshi mjini watakuwa washalisikia hili jina, lilikuwa la "gasho" maarufu sana


Mmnh labda umemchanganya na mtu mwingine.
Huyo mzee wa totozi kwa miaka mingi mjini tangu 90’s huko Halafu awe shoga ?
Sizani.
Jamaa kama kuzipiga amezikula haswa mchezo . 😀😅
 
Amefupisha jina anaitwa Kinjekitile Ngw'ale, ni Mganga wa jadi aliyewaambia Wapiganaji kwamba ameshafanya mambo hivyo wakipigwa risasi na Wajerumani waseme tu "maji" kwamba zile risasi zitageuka kuwa maji...kilichowakuta soma vitabu vya historia,vita viliitwa majimaji.

😀😅
Ni Matumbi Og bana 😆😆
Ukimuangalia kama mmanga Fulani , mazaake alikuwa na uzungu fulani lakini ni Mmatumbi og kabisa.
 
Bhaeleze watoto wa 2000's..kuna mmojahuko juu kasema Kinje ana hela kama utitiri..lol angesema zamani sawa kwanini Nitha kamuacha kisa kipi? Kaona anaendekeza umalaya no future...wakaanza kutunishiana misuli.toka serikali toka wapokonye stand ikawa chali

Kwa hiyo miradi ikikata na Hela huwa inakata kabisa ??
Kwamba alikuwa akiishi kwa cash basis na mzee wake na maza ake ??!
 
Kinje kama kinje kaongea

Akiongea na Radio moja pale SA

Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda
Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote.

"Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza kua mtu Bora kwako"

Kinje katolea mfano matajiri wanavyopoteza utajiri wao dunia nzima hasa kwa watu ambao hawakuchangia wala kuhusika chochote kwenye utafutaji.

Kasema Yuko makini Sana na kizazi hiki cha wanawake matapeli wa Mali za wanaume.
Baadae Nitaweka mahojiano yake yote mpate kusikiliza.
Huyu kinje si nilisoma naye form 6 pale Benjamin au majina tu?
 
Wanaume wanaoa sababu ya makalio wako wachache sana, ndio maana majority ya wadada wenye shape ni nyumba ndogo. Sometimes usiwalaumu watu jievaluate ww mwenyewe, evaluate your body counts, tabia yako. Kushinda kanisani hakukufanyi kuwa unatabia njema.
Kikuu message imefika. Hii message ilikua ya kinje. Naomba tafuta picha ya mke wake uje apa
 
Back
Top Bottom