Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kikuu message imefika. Hii message ilikua ya kinje. Naomba tafuta picha ya mke wake uje apa


Hoja yangu ilikuwa hapa.
Hawa ndo wale wanaume akina sie tunaoshinda kanisano hatuna makalio mnatuona washamba mkiumizwa mnaanza wanawake wabaya hapana wanawake uliochagua ndo wabaya
 
Hawa ndo wale wanaume akina sie tunaoshinda kanisano hatuna makalio mnatuona washamba mkiumizwa mnaanza wanawake wabaya hapana wanawake uliochagua ndo wabaya
Ila ninyi wa makanisani ndio hatari kabisa, bora hata wale wa bar
 
Huyu mzee nae anazeeka vibaya!kasahau yeye ndio mkufunzi wa wahongaji hapa mjini?kwa nini anataka kukimbia kitengo chake mapema?
 
25 mwisho, huko juu ni machozi na damu lazima pesa zihusike..!!
Miaka 25 na miaka 34, mwanaume mbona muonekano wake unakua ule ule haujatofautiana sana, halafu kwa sisi wanaume wengi miaka 21-25 unakua bado uko chuo unategemea kula ya shikamoo toka kwa wazazi, na ukioa mke atahitaji matunzo, huoni shida hapo Lamomy
 
Bora Ata wewe 21-25 ulikua Chuo mimi miaka 25 nilikuwa formthree
 
kinjekitile ngwale bukelo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…