Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Si ajabu jamaa wamefunga na mlango kabisa pale salenda ili wananchi wasije kukimbilia ndani, iliwahi kutokea pale buguruni, jamaa wanamwaga njugu, polisi wakakimbilia ndani ya kituo na kufunga milango, watalaamu walipotokomea, wao ndo wanafungua milango na kujifanya wapi busy kuandaa magari kuwafukuza
Nao Wana miilii ya nyama.
Pili hawana vifaa vya kujikinga na risasi aina zote
 
Serikali yetu ina hamu sana ya kupata magaidi. Yawezekana polisi wetu wamepata mafunzo mengi ya kupambana na magaidi halafu magaidi hawatokei. Hivyo inabidi wapate hata wa kutengenezwa. Akina Mbowe wakiacha kudai katiba, akina Gwajima na akina Jerry eatageuzwa kuwa magaidi.
Mbona hakuna tofauti Kati ya gaidi na jambazi
 
Kwa maelezo ya waliokuwepoo jamaa alikua anatamka hataki kudilii na raia anataka askari tu...kauwa traffic kadhaaa

Trafiki wapewe silaha wanapokuwa barabarani walindane wao kwa wao. Very very sad. Inauma na inasikitisha sana.
 
Watatu wauawa katika majibizano ya risasi

Mtu mmoja asiyejulikana ameuawa baada ya kuwaua askari wawili katika majibizano ya rissi mkoani Dar es salaam.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Simon Sirro, amewaambia Waandishi wa habari kuwa tukio hilo limetokea katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi.
 
Narudi kwa target aliopigwa,mpigaji ni mjuzi wa shabaha .risasi moja ya kichwa tena naisi imepigwa na mtu aliekua juu.NDUGU ISIKIE TU HIO KITU INAITWA SMG -1954
Video inaonyesha jamaa aliye mtwanga akitokea nyuma yake.
 
Watatu wauawa katika majibizano ya risasi

Mtu mmoja asiyejulikana ameuawa baada ya kuwaua askari wawili katika majibizano ya rissi mkoani Dar es salaam.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Simon Sirro, amewaambia Waandishi wa habari kuwa tukio hilo limetokea katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi.
Duh kumbe alishawalamba wawili
 
NDIO HIYO HIYO KAMA UNAELEKEA MJINI HAPO UBALOZIINI
Mkuu ladyfurahia a Salam kwako. Stanbic Bank unayoongelea ni hiyo pembezoni mwa barabara inayotokea Mwananyamala karibu na mataa Mashuhuri kama mataa ya Ubalozini? Kama jibu ni Ndiyo basi kuna uwezekano wa hao wahalifu walibadili mkakati kwani Askari waliifunga hiyo njia asubuhi kwa karibu masaa mawili.

Ahsante
 
Watatu wauawa katika majibizano ya risasi

Mtu mmoja asiyejulikana ameuawa baada ya kuwaua askari wawili katika majibizano ya rissi mkoani Dar es salaam.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Simon Sirro, amewaambia Waandishi wa habari kuwa tukio hilo limetokea katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi.
sirro ajue kuwa ugaidi sio kuwa na laki sita kupanga kuweka miti barabarani
 
Back
Top Bottom