Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Mock gani hiyo kwa mfano mtu wa kwenye gari mmojawapo angekuwa na chuma huyo jamaa si angeuliwa.. maana anatembea na silaha kizembe
Ujiamini ukimkosa au kama anamafunzo ya ugumu hata ukimpata inaweza kula kwako. Hapo si bar kutishana.