Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Majira ya leo mchana IGP Simon Siro amesema kwenye majibizano ya Risasi aliyokuwa yakiendelea Dar es salaam kati ya police na Raia mmoja asiyejulikana.

Police wawili wamepoteza maisha kwenye majibizano pamoja na mtu huyo aliyekuwa akijibizana Risasi na police nae kauwawa mwenye asili ya Kisomalia.
siro msimuamini , kabisa hana chembe ya ukweli
 
He is just another Confused Extremist, mtu kama huyu alitakiwa awe incapacitated, yaani wangeshoot mikono au miguu apate tu kilema Ili ahojiwe vizuri na Ili atueleze vizuri huu ujasiri kautoa wapi.

Vyombo vya usalama kuweni Makini Kuna message inatolewa hapo.

Ila huyu marehemu anaonekana ni amateur kabisa. Una shoot hovyo na anatembea kwa uwazi kabisa hivi, Ila pia,anaonekana hakuwa na lengo maalumu zaidi ya kutuma ujumbe Fulani. Kumbuka hii Kona huwa inalindwa saana.
View attachment 1907766
 
Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?...
Hii imekaa kama movie ya utayari jambazi gani hakimbii, hajifichi, hashambulii basi ili apate hata human shield ajaribu kutoroka??
 
Back
Top Bottom