siro msimuamini , kabisa hana chembe ya ukweliMajira ya leo mchana IGP Simon Siro amesema kwenye majibizano ya Risasi aliyokuwa yakiendelea Dar es salaam kati ya police na Raia mmoja asiyejulikana.
Police wawili wamepoteza maisha kwenye majibizano pamoja na mtu huyo aliyekuwa akijibizana Risasi na police nae kauwawa mwenye asili ya Kisomalia.