Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Majira ya leo mchana IGP Simon Sirro amesema kwenye majibizano ya Risasi aliyokuwa yakiendelea Dar es salaam kati ya police na Raia mmoja asiyejulikana.

Police wawili wamepoteza maisha kwenye majibizano pamoja na mtu huyo aliyekuwa akijibizana Risasi na police nae kauwawa mwenye asili ya Kisomalia.
 
Kwa maelezo ya waliokuwepoo jamaa alikua anatamka hataki kudilii na raia anataka askari tu...kauwa traffic kadhaaa
Duuuh! Mbaya san awangejitahidi wasimuue ili wambane vizuri nadhani atakuwa ni masalia ya kibiti na msumbiji
 
Back
Top Bottom