Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Huyo sio maiti ni gaidiSio vizuri kupost picha ya maiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio maiti ni gaidiSio vizuri kupost picha ya maiti
Mpaka nitakapopata habari kamili lakini huyu jamaa amenishangaza. Mhalifu gani anajiweka kuwa target namna hiyo? Haonyeshi wasiwasi wowote. Huyu nadhani ameuwa kilaini sana bila purukushani. Nadhani nia yake ilikuwa kupigwa risasi afe.Alitaka kufa huku kifo chake kiwe na umaarufu.
😀😀
wange vunja ata miguu wao wana juwa kuzuwia mandamono tu!Wamekosea kumuua ilitakiwa wahakikishe wanamkamata akiwa hai ili wambane pumbu aseme yote
Msomali huyu
Hivi kama mimi sio polisi nikawa na pistol yangu hapo nikamlenga nkaua ntashtakiwa.Hilo gaidi enzi zangu namjeruhi bega ili nikamng'oe meno bila ganzi
Kuingiza wapi? Madawa ya kulevya yanapoingizwa huwa wanapewa vibali?Lakini bado najiuliza hivi inawezekanaje mtu anaweza kuingiza silaha nzito hizo bila kujulikana? Au kuna kibali kinatolewa kwa Bunduki kama ya huyo jamaa?
Movie inatengenezwa kwa mtu kufa?!!!Kwa jicho la tatu Kuna move inatengenezwa hapo na tusubiri tamko tu, Kuna mtu soon ataachia ngazi na Kuna mengi yanfuata suburi😢😢😢😢
Natumaini raia wasio na hatia hawajadhurika kwenye hili tukio YarabiYeye kadhuru wangapi kwani??
Nimeona picha apo dereva bajaji kachochora kaitelekeza bajaji yake, aisee chuma kisikie tu.
Raia wengine huwa wanasema tu unafikiri huyo kwa kumuambia sogea Toto.!😂Umeona silaha aliyokuwa nayo mkononi?
Alikuwa anapiga juu tu.Mkuu mi nilidhani alikua anashambuliana na polisi kumbe alikua anapiga juu!!,?
Wafukuzeni waislamu wote Tanzania iwe yenu yote.Wale Mashehe wa uamsho walioachiliwa wasije kuwa wameingia kazini
Walipokuwa Ndani Nchi ilitulia