Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Si huwa kuna askari muda mwingi hapo kwenye kona ya kuelekea Masaki?

Hata Usalama wa Taifa si mbali sana hapo, kituo cha polisi Selander kipo karibu pia, hapo nyuma nyumba za O'bay kuna wastaafu kadhaa wa JWTZ
Askali walikuwa wa zamani....wakisikia mlio wa lisasi wanacharge....wa leo wanacharge wakijua ni CHADEMA. Kwenye lisasi wanajificha
 
Kama watalibani kwanza usingeandika pili ungekuwa uko chooni unatafuta choo ,pengine hiyo ni moky tu ya polisi juzi kati kenya wamefanya na wao wanaiga tu .Kwenye shaba atakwenda vile usichezee iyo kitu.
Mock gani hiyo kwa mfano mtu wa kwenye gari mmojawapo angekuwa na chuma huyo jamaa si angeuliwa.. maana anatembea na silaha kizembe
 
Back
Top Bottom