Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 878
- 1,373
😃😃 sio rahisi hivyoPolisi wote hao wasingeshindwa wangemtungua kwenye mikono na miguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃 sio rahisi hivyoPolisi wote hao wasingeshindwa wangemtungua kwenye mikono na miguu
Pole kwa wafiwa.usisikie mkuu yaani usijethuubutu kuenda eneo la tukio kabisa
sasa wale wamama wanaoomba hela maeneo hayo sijui wamepona
Sirro anahangaika na Mbowe badala ya kuhangaika kuzuia matukio Kama hayoKwa jicho la tatu Kuna move inatengenezwa hapo na tusubiri tamko tu, Kuna mtu soon ataachia ngazi na Kuna mengi yanfuata suburi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
MfuateTutamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya. Tulilala milango wazi jamani.
Saivi kila mtu arudi kwenye kazi yake
yes, unaweza kuta nyuma ya pazia kuna tukio linapangwa, yani mtu kama huyo na silaha hadi amefika hapo ukute hata kuna gari imemshusha wakamwambia tangulia sisi tutakuja kumaliza kazi siku nyimgine.Wamekosea kumuua ilitakiwa wahakikishe wanamkamata akiwa hai ili wambane pumbu aseme yote
Mkuu nimeona video zake zinazosambaa whatsap nakubaliana na wewe, jamaa kafunga mtaa anazunguka tu na bunduki kama akili zake hazipo sawa, nimeona video jamaa katokea kwa nyuma yake kwenye daladala akamshoot.Kwa muda aliotumia angetaka kufanya uhalifu angeshafanya. Hawez kupoteza risasi hovyo kwa kupiga piga juu.
Ww unaroho ya kigaidi wakipatana watu wataamka kiaje?!Wakipatikana km hawa kumi au zaidi watu wataamka
Bangi za mchana hizi!!!! Sasa kuuwa watu ndiyo majibu ya matatizo yako?Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?
Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic
Inadaiwa Polisi Wamenyang'anywa Bunduki mbili SMG na Kumiminiwa risasiðŸ˜
View attachment 1907510
View attachment 1907511
View attachment 1907519
Hii ni developing news…
Kuna mtu mmoja, kapigwa risasi na kuanguka katikati ya barabara
View attachment 1907602
View attachment 1907621
View attachment 1907645View attachment 1907646
Huyu anadaiwa kauawa.
Hatujapata habari kamili. Inawezeka pia akawa mgonjwa wa akili.huyu niMzembe mwenye silaha 😂 😂 😂
😃😃 Watu huwa wanaongea tu. Uhalisia haupo hivyoRaia wengine huwa wanasema tu unafikiri huyo kwa kumuambia sogea Toto.!😂
Hapo ni chuma chuma TU..
wange kukunguta usijaribu kwenye mazingira magumu kama hayo labda uwe na mawasiliano naoHivi kama mimi sio polisi nikawa na pistol yangu hapo nikamlenga nkaua ntashtakiwa.
Nani akushtaki? Piga chuma majinga hayo!Hivi kama mimi sio polisi nikawa na pistol yangu hapo nikamlenga nkaua ntashtakiwa.
Au ni cha kudanganyia, ili hao jamaa wa mwezi na nyota wapewe kibano kikali?Jamaa kwenye video anaonekana kavaa kikofia flani hivi chechefu.
Ukumbuke pia jamaa angeweza kukuondoa wewe kabla yake.wange kukunguta usijaribu kwenye mazingira magumu kama hayo labda uwe na mawasiliano nao
watu wameguna kama vile walikuwa wanatakaa jamaa aendelee
Huoni ndevuAu ni cha kudanganyia, ili hao jamaa wa mwezi na nyota wapewe kibano kikali?
Huyu jamaa siyo mjinga, kuna ujumbe alikuwa anaufikisha. Vyombo vyetu vya usalama vinabidi kwenda extra miles, wasiishie tu kusema tumemuua.Mpaka nitakapopata habari kamili lakini huyu jamaa amenishangaza. Mhalifu gani anajiweka kuwa target namna hiyo? Haonyeshi wasiwasi wowote. Huyu nadhani ameuwa kilaini sana bila purukushani. Nadhani nia yake ilikuwa kupigwa risasi afe.
Wangemtandika ya mguu. Huyu mwehu ilibidi ateswe kwanzaWamekosea kumuua ilitakiwa wahakikishe wanamkamata akiwa hai ili wambane pumbu aseme yote
Mkuu wale inteligensia yao inafanya kazi kwa chadema tuPolisi mbona hapo hatuwaoni wamefika?
Mbona hawajadhibiti au intelijensia haikufanya kazi?