Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Waliouawa hawakuwa traffics,ni askari wenye silaha na tena walinyang'anywa silaha.Traffic hawakai na silaha barabaran
Great observation aiseeTANZANIA/JF KILA MTU NI MWANA USALAMA. UKISOMA COMMENTS UTACHEKA NYINGINE UTASIKITIKA TU.
NIONAVYO MIMI HUYO MTU NI GAIDI. TENA MAGAIDI WAMEKUJA NA AINA MPYA YA KUFANYA TUKIO KWA KUWALENGA ASKARI TU HASA POLISI...
Tena bila kuchelewaThats the easy part.
Kumbe anajulikana na anaishi fireTunayalea magaidi wenyewe ipo siku yatatuumiza
Katumwa na nani humjui?Very stupidity.
Mtu mwema akiipigania haki ya wananchi wanamwita gaidi...
Acha maneno yasio na maana. Kwahiyo unataka kuuaminisha umma kuwa huyu ni shabiki na kipenzi chake.Huyu sio jambazi. Hakuna jambazi anakuja mchana na kavaa hivi.
Huyu anafanya kile kinachodaiwa kufanywa na Mbowe
Ni hatari sanaNilijua tu.. hawa watu sio wakuchekewa
Nchi yoyote ile mtu ambae haja surrender ni lazma auwawe huyo jamaa kwanza ana AK mbili zenge magazine hapo ni risas 60 zipo na ana bastola na kashauwa askari wawili unataka aendelee kubembelezwa akamatwe akiwa mzima huku ameuwa askari 5+ ? Huo ni upuuzi na wala siyo kufanikiwa kwanza ilitakiwa auwawe haraka SanaMimi nadhani imetumika akili ndogo sana kumuua. mtu alikuwa sehemu ya wazi,kama polisi wangekuwa na snipers, angepigwa risasi kwenye bega lilokuwa na bunduki ,bila shaka angedondoka chini...
Watu mpo kasi hatari.[emoji848]View attachment 1907900
JAMANI HIKI KITAMBULISHO CHAKE MMEKIPATAJE GAFLA HII
...kama ni hivyo mbona hao serikali hawajamkamata aliyempiga risasi lissu....hivi kweli serikali ipigiwe kelele vile kuhusu lile tukio alafu washindwe kijisafisha kwa kumkamata mhusika!...kashapigwa shaba ya kichwa moja tu na sniper, ndiyo maana nitabisha mpaka mwisho kuwa tundu lissu alivamiwa na serikali, haiwezekani kabisa kupoteza shaba sijui 36 nonsense
😅😅😅tushakuwa kama somalia sasa.Hii nchi si yakuaminiana kabisa unaweza kuta Siro ndo anatumia ID ya Pythagoras ukitaja tu unadakwa.
Unaulizwa umejuaje?
Inteligensia haikufaya kazi, ila kwa mikutano ya chadema inafanya kazi..rubbish!Msemaji wa Jeshi la Polisi ametoa taarifa mpya kwamba mpaka sasa idadi ya waliouawa ni watu 4 , askari watatu , mmoja ni mlinzi wa kampuni binafsi ya SGA , huku jeshi la polisi likimuua Mshambuliaji na kufanya waliofariki kufikia wanne
Waliojeruhiwa ni watu 6 .