Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

TANZANIA/JF KILA MTU NI MWANA USALAMA. UKISOMA COMMENTS UTACHEKA NYINGINE UTASIKITIKA TU.

NIONAVYO MIMI HUYO MTU NI GAIDI. TENA MAGAIDI WAMEKUJA NA AINA MPYA YA KUFANYA TUKIO KWA KUWALENGA ASKARI TU HASA POLISI...
Great observation aisee
 
Very stupidity.
Mtu mwema akiipigania haki ya wananchi wanamwita gaidi.
Haya sasa huyo gaidi rasmi katuma salamu.
Hatujui wako wangapi?
Silaha kapata wapi?
Katumwa na nani?
Kuna haja viongozi wa Kiafrika wapimwe akili.
Askari wetu wamekufa wao wanasiasa wanaendelea kupitishiwa menu kila asubuhi
 
We're not serious [emoji23][emoji23][emoji23]wabongo kwa exaggerations ndio maana ni rahisi kutolewa katika mambo ya msingi kwasababu tunaishi kwa matukio mno...kwa ugaidi gani aliofanya hakuna mlipuko, hakuna uvamizi, au mauaji ya halaiki zaidi ya kufyatua tu risasi hewani na kujeruhi, ni kawehuka tu akili zake labda ana makwazo na mapolisi wetu hawa maana nao sometimes hawako fair kabisa tunawajua askari wetu, hivyo reaction yake ndio kaona afanye atakacho uenda alishindwa kuzuia hasira zake tu[emoji846]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hoja zitajengwa kwa ajili ya kesi ilee. Huyu Bwana ni msomali nadhani. Nilifikiri Police wangejaribu kumweka chini ya ulinzi badala ya kumuua ili wapate huyu bwana alikuwa na agenda gani badala ya kumuua.
 
Huyu sio jambazi. Hakuna jambazi anakuja mchana na kavaa hivi.

Huyu anafanya kile kinachodaiwa kufanywa na Mbowe
Acha maneno yasio na maana. Kwahiyo unataka kuuaminisha umma kuwa huyu ni shabiki na kipenzi chake.
Kama umetumwa kutengeneza platform KAJIPANGE UPYA
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi ametoa taarifa mpya kwamba mpaka sasa idadi ya waliouawa ni watu 4 , askari watatu , mmoja ni mlinzi wa kampuni binafsi ya SGA , huku jeshi la polisi likimuua Mshambuliaji na kufanya waliofariki kufikia wanne

Waliojeruhiwa ni watu 6 .
 
Mimi nadhani imetumika akili ndogo sana kumuua. mtu alikuwa sehemu ya wazi,kama polisi wangekuwa na snipers, angepigwa risasi kwenye bega lilokuwa na bunduki ,bila shaka angedondoka chini...
Nchi yoyote ile mtu ambae haja surrender ni lazma auwawe huyo jamaa kwanza ana AK mbili zenge magazine hapo ni risas 60 zipo na ana bastola na kashauwa askari wawili unataka aendelee kubembelezwa akamatwe akiwa mzima huku ameuwa askari 5+ ? Huo ni upuuzi na wala siyo kufanikiwa kwanza ilitakiwa auwawe haraka Sana
 
kashapigwa shaba ya kichwa moja tu na sniper, ndiyo maana nitabisha mpaka mwisho kuwa tundu lissu alivamiwa na serikali, haiwezekani kabisa kupoteza shaba sijui 36 nonsense
...kama ni hivyo mbona hao serikali hawajamkamata aliyempiga risasi lissu....hivi kweli serikali ipigiwe kelele vile kuhusu lile tukio alafu washindwe kijisafisha kwa kumkamata mhusika!...
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi ametoa taarifa mpya kwamba mpaka sasa idadi ya waliouawa ni watu 4 , askari watatu , mmoja ni mlinzi wa kampuni binafsi ya SGA , huku jeshi la polisi likimuua Mshambuliaji na kufanya waliofariki kufikia wanne

Waliojeruhiwa ni watu 6 .
Inteligensia haikufaya kazi, ila kwa mikutano ya chadema inafanya kazi..rubbish!
 
Back
Top Bottom