Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Ni kweli, kwenye magroup naona video zinatembea sasa risasi zikipigwa hapo Stanbic karibu na Salenda / Ubalozi wa Ufaransa,,,

Naona maombi yao ya Ugaidi yanaanza kujibiwa
IMG-20210825-WA0017.jpg
 
Yaani pale mtu anatembea na bunduki na anamwaga risasi zote hizo still polisi hawajatokea??... Na nisehemu ambayo haiishi dakika tigo hao. Au wamekimbia. Nje tu ya ubalozi hapo naonaga maaskari Leo hawapo?? Kuna kitu hakiko sawa. Maana risasi moja tu ikipigwa salender police wa nasikia imekuwa je Wako kimya
 
Wakitokea uni dip namba yangu ni 099888812
 
Back
Top Bottom