Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Hoja zitajengwa kwa ajili ya kesi ilee. Huyu Bwana ni msomali nadhani. Nilifikiri Police wangejaribu kumweka chini ya ulinzi badala ya kumuua ili wapate huyu bwana alikuwa na agenda gani badala ya kumuua.
Hivi unafikiri katika situation kama ile kucahgua wapi pa kupiga ni kazi rahisi,especialyy kama wote mko kwenye same level,hiyo inakuwa rahisi tu kama unapiga kutokea juu,let say gorofani n.k...
 
Nilikuwa around nikitokea posta nilidhani ni wezi wamevamia hapo stanbic sikutaka ushahidi nikachochora hadi fire nikaunga na hamsini zangu
Nakupongeza mkuu kwa kuondoka eneo la tukio wabongo wengi wamekua ni watu wa kupenda kushuhudia vtu vya hatari bila kufikiria ni hatari kuna wale waliokua wanachukua video kwa madirishan ile ni hatari sana risas haina macho inaweza kupita na uhai wako
 
kashapigwa shaba ya kichwa moja tu na sniper, ndiyo maana nitabisha mpaka mwisho kuwa tundu lissu alivamiwa na serikali, haiwezekani kabisa kupoteza shaba sijui 36 nonsense
Hata kama sijawahi kulenga shabaha,huyu jamaa alikuwa wazi kabisa kajiexpose!Mtu aliyemshoot hakuwa umbali mrefu!
Hilo la Lissu,ni nani aliondoa ulinzi wa getini kuingia makazi ya viongozi?Ikumbukwe makazi hayo yalilindwa na SUMA JKT!
Sasa sema,nani anaweza kutoa order walinzi waondoke wakati wa shambulio?
 
Askari wa kwenye keyboard uko vizuri.

Acheni ujuaji wabongo, unamjua mtu aliyepanic alaf ana risasi ziko chamber?

Unakijua chuma wewe? Mtu anazo njugu sio chini 30 alaf amepanic, ushawahi kukutana na hiyo hali???

Hata mafunzo ya mgambo uliwahi pitia ukashika chuma au mtu akashika chuma hata mko mazoezi ya kulenga shabaha tuu??
Acheni ujuaji wazee
 
Ni kweli risasi zingine zinaruka juu zinakata kona zinakufumua kifuani
 
Dah. Poleni sana wa Tz, polisi na familia za wahanga.

Lakini pia polisi wafundishwe ku deal na streetfighting kuchukua cover etc.
Ni kweli adui akiwa na silaha ni hatari lkn muonekano, muda aliotumia kutamba alitosha kuwa neutralized pasipo kuleta madhara .

Mwili wake na miguu yake haina propotionality ya suluba ana obesity kwa mbali.

Nadhani askari hawana comminication gadgets , alitakiwa apigwe kwa mbali tu
 
WANASIASA WOTE HAWAAMINIKI ANGALIA HATA HAWA WA UPANDE WA PILI

 

Attachments

  • 2878995_images_9.jpeg
    35 KB · Views: 1
sasa unaongea nini hapa?
 
Kwani gaidi nini maana yake? Tuelimishe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…