Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kwenye system za CTU unaonekana miongoni mwa wafadhili wa ugaidi umejaribu kuchangia buku kwenye account ya gaid SWAT wanakuhusu mkuu ni bora tu utoroke
Muamala haukukamilika lakini[emoji848]
 
tunaomba picha za hayo majambazi zisambazwe kote pia uchunguzi na upelelezi ufanyike kila kona, ili kubaini mtandao mzima.
kuna wahuni wamejificha.
 
Nchi inahitaji watu wengi kama hawa ili tuheshimiane. Watanzania asilia tu waoga sana. Wizi wa kura, kubambikiziwa makosa, kutoweka, utekaji, mauaji, tozo, nk... lakini tuko kimya tu. Ingekuwa nchi nyingine kingekuwa kimenuka. Damu ya kisomali inahitajika Tanzania. Wasomali ruhusa kuzaa na dada zetu. Milioni 60 wote tuko madada tu hapa.
 
nawapongeza sana Askari wetu kwa kazi nzuri.
nashauri Msako ufanyike nyumba kwa nyumba Hoteli kwa hoteli, bar kwa bar.
Majambazi tunaishi nao ktk maeneo yetu mitaa yetu, mahoteleni n.k.
Polisi wetu tunawaomba kamwe msilale. Badilisheni mbinu.
Majambazi sio wakuwachekea washa moto tu, pigeni risasi hawa watu wafe wote.
wasakeni hata wakiwa shimoni.
Hili tukio lingependeza sana kama huyo jamaa angewafyekelea mbali mapolisi wa ccm hata 50 hivi, sijui alikwama wapi tu.
 
Back
Top Bottom