Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Nchi inahitaji watu wengi kama hawa ili tuheshimiane. Watanzania asilia tu waoga sana. Wizi wa kura, kubambikiziwa makosa, kutoweka, utekaji, mauaji, tozo, nk... lakini tuko kimya tu. Ingekuwa nchi nyingine kingekuwa kimenuka. Damu ya kisomali inahitajika Tanzania.
Sio vitu vya kuombea hivyo,
Kama unahitaji Shari za namna iyo hamia uko somalia
 
Inavoonekana Ni kitambulisho Cha mtandaoni Kama vile vya nida.

Ila format yake haiko Kama ya nida.

Tunapaswa tujue Ni taasisi gani inatoa I'd zenye maelezo Kama hayo
Ktk simu yake kutatoa kila kitu kikubwa picha yake imeonekana vizuri
 
Very stupidity.
Mtu mwema akiipigania haki ya wananchi wanamwita gaidi.
Haya sasa huyo gaidi rasmi katuma salamu.
Hatujui wako wangapi?
Silaha kapata wapi?
Katumwa na nani?
Kuna haja viongozi wa Kiafrika wapimwe akili.
Askari wetu wamekufa wao wanasiasa wanaendelea kupitishiwa menu kila asubuhi
Imagine angeamua kumimina kwenye zile gari leo tungezika watu 500
 
Instagram anatumia jina gani?
Na Twitter?
[emoji23][emoji23][emoji23]nmeikuta mahali
IMG-20210825-WA0026.jpg
 
Duh hata maana ya intelijensia hujui?!
We pimbi hivi unajua Intelijensia hua inafanya kazi kirahisi kwenye matukio ambayo ni planned!

Hili tukio limetokea ghafla, unafikili ilikua rahisi kujipanga na kufanya chechote!

Hua tunaona raia wanauawa Marekani, unafikiri hawana intelijensia imara?

Matukio ya ghafla udhibiti wake ni mgumu,

Nawapongeza askari wetu, Rest in peace kwa waliofariki.
 
mkuu ni vyema tu uendelee kuwa unaangalia movie na kuziacha huko huko sebuleni.

neno"uzembe"kuna baadhi ya kazi halifai kuwekwa.either litapwaya au litabana kwenye maana yake.

wakati askari akifikiri namna bora ya kutatua changamoto zinazokukabiri ukiwa na mkeo na wanao,gaidi anaiga mahesabu ya kummaliza askari.shukuru hakuamua kuwageukia raia wengine.
Ndugu yangu ukiona hivyo ujue jamaa ana hasira sana na Askari hivyo anafurahia kudunguliwa kwa hao Askari, Kweli Askari wanatusaidia sana kutulinda lkn shida inakuja pale wanapowaonea raia wanyonge km vile kuwabambikizia kesi,kuwakamata bila kosa maalumu kisha kuwaweka ndani, halafu kutoka hadi walipe pesa ambayo haina risiti Halafu wanagawana wenyewe.Hata Mimi kusema ukweli huwa ninawachukia Sana tena sana hawa Askari wetu.
 
Leo nimekuwa msomali baada ya awali kuniita mzanzibari mmakunduchi ?!!!

Yaani mkuu hujui maana ya "KEDI"?!! Khaa 😲😲😲

Kiswahili cha kawaida na kisicho lahaja za huko usemako......

Mkuu Brazaj banaa naamini wewe huna OBESSIVE COMPULSIVE DISORDER!! 🤣

#KaziIendelee
#SiempreJMT

Kukomelea vikorombwezo vya Kiamerika hakukufanyi kuwa muamerika yakhe!

Makunduchi, chatto, Msoga, hata Nanyumbu kote huko Tanzania yakhe.

Tanzania itajengwa na wenye moyo.

Kuwa na amani yakhe!
 
CHADEMA ndio wanataka kutufikusha kwenye vitendo kama hivi, Jeshi la polisi tusimxhekee yeyote ktk suala la amani yetu.
 
Back
Top Bottom