Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Inabidi kuangalia historia ya afya yake ya akili pia.

Huyu ni Gaidi kwa Mtazamo wangu, alienda Mafunzo ya Dini Misri, kwa Mujibu wa Audio zinazotembea Mitandaoni. Lakini mimi kujificha kwenye Kile Kibanda na Kulenga. Namuona ni Gaidi. Alitoka Baada ya kurushiwa Mabomu ya Majozi pale kama si Gas. Akaamua kutoka. Kwa Mujibu ya Tweet ya Ikulu kaua Askari Watatu na Mlinzi Mmoja wa SGA (kampuni ya Ulinzi).
 
Sasa mbona uliyejaribu kumtumia pesa ni retailer na sio marehemu?

Tazama namba ya marehemu ipo chini baada ya pichaye...
Nimtumie marehemu pesa ili nigundue Nini hasa, na upepo wenyewe huu unaouona[emoji38]
 
Miaka mingi iliyopita kwenye 1990's askari waliuliwa maeneo hayo ya salender majambazi walikuwa wako kwenye foleni na polisi waliokuwa wakipelekwa lindo walikuwa nyuma ya majambazi nao wako foleni.
Majambazi wakadhani gari ile inawafatilia bada ya polisi waliokuwa kwenye gari iliyoko nyuma yao kushuka hivyo majambazi wakatoka kwenye gari yao na kuwashambulia polisi na kuua kadhaa.nilikuwepo kwenye tukio bahati gari yetu ilikuwa mbele na tulitoka salama.
 
Well done polisi
That's not well done for the Police Force.
Walitakiwa wamkamate ili wamfikishe kwa Pilato ili kumjua yeye ni nani na waliomtuma ni kina nani! Ukimwua mhalifu hakuna kesi hapo
CHADEMA ndio wanataka kutufikusha kwenye vitendo kama hivi, Jeshi la polisi tusimxhekee yeyote ktk suala la amani yetu.
Kada wa CCM hebu acha umbeya na ufukunyuku wa kipumbavu! Hivi CHADEMA unawahusishaje na tukio kama hili la kijambazi? Ulishawahi ona wapi mwanachadema anafanya ushennx kama huu?
Jiulize wale JAMAA WASIOJULIKANA WALIOMPIGA RISASI TUNDU ANTIPAS LISSU mchana kweupe na wakatokomea mbona hawa kuuliwa kama polisi walivofanya leo????CCM LAZIMA MJITAFAKARI!
Upepo wa kisulisuli umeingia Zambia, kwa sasa HH ndiye Rais toka upinzani. The next General Election in Tanzania we gonna have another HH!
 
Watu wanakuchoma kidole kwenye nahiii unasema hewala bwanaa... Mpaka lini? Tunahitaji Wasomali wa kutosha wa kuonyesha hawa wabambikia wenzao kesi. Nani anawahurumia hao washenzi. Utakuwa mshenzi mwenzao basi.
Ogopa Sana machafuko mkuu,
Hata Libya na Iraq walikua Kama wewe.

Ila kwa Sasa wanajuta Sana.

AMANI YETU LAZIMA ILINDWE KWA GHARAMA YOYOTE ILE
 
Watu wanakuchoma kidole kwenye nahiii unasema hewala bwanaa... Mpaka lini? Tunahitaji Wasomali wa kutosha wa kuonyesha hawa wabambikia wenzao kesi. Nani anawahurumia hao washenzi. Utakuwa mshenzi mwenzao basi.
Usipende kushabikia maafa kwa nchi yako kwasababu ya Mambo fulani usiyoyapenda yafanyikayo,ebu fikiria wale watu waliouawa mtwara wamembambikia yeyote kesi?
 
Watu wanakuchoma kidole kwenye nahiii unasema hewala bwanaa... Mpaka lini? Tunahitaji Wasomali wa kutosha wa kuonyesha hawa wabambikia wenzao kesi. Nani anawahurumia hao washenzi. Utakuwa mshenzi mwenzao basi.
Kukishachafuka hapa sidhan Kama hata nafasi ya kuandika izo shombo zako itapatikana
 
Hili tukio lingependeza sana kama huyo jamaa angewafyekelea mbali mapolisi wa ccm hata 50 hivi, sijui alikwama wapi tu.
tunafahamu kuwa Chadema nia yao ni kuchafua amani na utulivu wa nchi yetu, lkn kamwe vyombo vya ulinzi na usalama vipo imara na madhubuti.
 
Back
Top Bottom