Mbunge Wa Kitaa
Senior Member
- May 25, 2014
- 122
- 118
Inabidi kuangalia historia ya afya yake ya akili pia.
Huyu ni Gaidi kwa Mtazamo wangu, alienda Mafunzo ya Dini Misri, kwa Mujibu wa Audio zinazotembea Mitandaoni. Lakini mimi kujificha kwenye Kile Kibanda na Kulenga. Namuona ni Gaidi. Alitoka Baada ya kurushiwa Mabomu ya Majozi pale kama si Gas. Akaamua kutoka. Kwa Mujibu ya Tweet ya Ikulu kaua Askari Watatu na Mlinzi Mmoja wa SGA (kampuni ya Ulinzi).