Mbunge Wa Kitaa
Senior Member
- May 25, 2014
- 122
- 118
Kapigwa na Askari waliokuwa Nyuma ya Daladala. Wali ji cover pale. Wakati kageukia upande mwingine askari wa Nyuma yake wakammaliza. Imeniuma kuona Kaua Askari Watatu na Mlinzi wa SGA mmoja. Yule ana Mafunzo, kwa wale mlio angalia Video zote. Kitendo cha Kujificha kwenye Kipanda Cha Polisi Mwishoni na Kuendeleza Mapambano kimenishitua. Pia kaua Askari. Daaah. Pole kwa Familia zao.Narudi kwa target aliopigwa,mpigaji ni mjuzi wa shabaha .risasi moja ya kichwa tena naisi imepigwa na mtu aliekua juu.NDUGU ISIKIE TU HIO KITU INAITWA SMG -1954
Nimtumie marehemu pesa ili nigundue Nini hasa, na upepo wenyewe huu unaouona[emoji38]
Atakua na maswali mengi atakayopaswa kuyajibu.Kwa nini?
Mbowe alikuwa anafadhili vitendo kama hivi.Mbowe gaidi? nadhani gaidi mnamuona leo
Wako chap[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watanzania jamani
Humu tukionya kuwa hao mashehe wa uamsho Ni magaidiWewe utakuwa ni mccm. Na siasa za chuki zimekuingia vilivyo. Chuki dhidi ya principal muslim, hao uliowataja ni culture Muslim ambao wameathiriwa zaidi na imani ya kijamaa kuliko ya kiislam.
Tukio hili ni la kihalifu kama Uhalifu mwengine. Kunasibisha na ugaidi, tena wa waislam ni ujinga wa km sisiem tu ulionao.
Wee acha TU[emoji38]Ila watu mnapenda kukaribisa matatizo aisee.. Sasa unapiga namba ya Huyo mtu ili ufaidike nini??? Mkikamatwa mtamlaumu nani sasa?
View attachment 1908024
Itakua haujaona videos vizuri, risasi zilizopigwa ni nyingi mnoooo kama vile walikua wanamlenga nyukikashapigwa shaba ya kichwa moja tu na sniper, ndiyo maana nitabisha mpaka mwisho kuwa tundu lissu alivamiwa na serikali, haiwezekani kabisa kupoteza shaba sijui 36 nonsense
Nihakiki iki nijitafutie majanga?[emoji23]Hahah,
Nilidhani unataka hakiki kama marehemu ndiye mwenye jina tajwa kupitia line ya simu...
Tatizo hayo mapungufu wanayazidishaHao polisi wana wategemezi na wapendwa wao ambao wamewaacha.
Tuweni na ubinadamu, polisi wanafanya kazi kubwa sana licha ya mapungufu yao madogomadogo.
Tuwaunge mkono na tuwape pole waathirika wote wa tukio hili.
Tuweni na utu.
Msamehe bureKweli tupu mkuu,siyo ajabu yeye hajawahi bambikiwa kesi yoyote.
Instagram anatumia jina gani?
Na Twitter?
Kweli huyu ni Gaidi wa Ajabu sana.Wamefika Polisi Watatu na Mlinzi wa SGA 1 jumla wamefariki watu wanne. Wamedhuliwa na huyo kwa maoni yaangu ni Gaidi kwasababu ya Vitendo vyake. Four people have perished.
Nionavyo mm ukiona mtu anafurahia ugaid nae n gaid au n sehemu ya ugaid. Maana kunawatu wanatumika kuwasaidi magaid pasipo kujua ama kwakujua ila one day kila mmoja ataonja athari za ugaid endapo ukishika hatamuTANZANIA/JF KILA MTU NI MWANA USALAMA. UKISOMA COMMENTS UTACHEKA NYINGINE UTASIKITIKA TU.
NIONAVYO MIMI HUYO MTU NI GAIDI. TENA MAGAIDI WAMEKUJA NA AINA MPYA YA KUFANYA TUKIO KWA KUWALENGA ASKARI TU HASA POLISI.
HII MBINU NI NZURI KWA KUWA MAGAIDI SASA WANAKWENDA KUPATA UUNGWAJI MKONO MKUBWA KUTOKA KWA RAIA. NIMESOMA COMMENTS KWENYE MITANDAO MBALIMBALI WATU WANAMPONGEZA GAIDI KWA KUTOWAGUSA RAIA WA KAWAIDA.
KULE KENYA WET GATE MAGAIDI YALIUA RAIA NDIO MAANA WALIPOTEZA USHAWISHI. HUKU KWETU MAGAIDI HAYAGUSI RAIA ILI TU KUPATA SUPPORT YA NGUVU YA UMMA.
YAJAYO YANAHUZUNISHA SANA.
Una uhakika kuwa huyo Ni msomali?Wasomali tunawachekea Tanzania ipo siku watatuharibia nchi