Picha za miili ya polisi ziliianza kurushwa na watu tena humu jamvini lakini mods wamezifutaWe elewa hivi.
Kama mwenyeji wa Dar na njia hio unaijua vema.
Kutoka Sarenda kina mataa hapo ilipo stanbic bank.
Haapo kuna askari polisi wengi sana alitoboaje hadi afike ubalozi wa ufaransa?
Mtu mmoja anbaye hana bullet proof wala helmet anasumbuaje kundi la polisi tena anatembea wima wao wamejificha nyuma ya mguzo[emoji28][emoji28][emoji28]
Tuendelee hao polisi wawili waliouawa kuna aliyewaona?
Mbona baada ya jamaa kuekti kafa wakaja mbio polisi kibao na kuondoka nae bila kutaka watu wapige picha?