Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

We elewa hivi.

Kama mwenyeji wa Dar na njia hio unaijua vema.

Kutoka Sarenda kina mataa hapo ilipo stanbic bank.

Haapo kuna askari polisi wengi sana alitoboaje hadi afike ubalozi wa ufaransa?

Mtu mmoja anbaye hana bullet proof wala helmet anasumbuaje kundi la polisi tena anatembea wima wao wamejificha nyuma ya mguzo[emoji28][emoji28][emoji28]

Tuendelee hao polisi wawili waliouawa kuna aliyewaona?

Mbona baada ya jamaa kuekti kafa wakaja mbio polisi kibao na kuondoka nae bila kutaka watu wapige picha?
Picha za miili ya polisi ziliianza kurushwa na watu tena humu jamvini lakini mods wamezifuta
 
Picha za miili ya polisi ziliianza kurushwa na watu tena humu jamvini lakini mods wamezifuta
Mbona wasap hazitembei lini watz wamekuwa.wastaarabu ivo?

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313] angalia cheo cha IGP
20210825_165507.jpg
 
TANZANIA/JF KILA MTU NI MWANA USALAMA. UKISOMA COMMENTS UTACHEKA NYINGINE UTASIKITIKA TU.

NIONAVYO MIMI HUYO MTU NI GAIDI. TENA MAGAIDI WAMEKUJA NA AINA MPYA YA KUFANYA TUKIO KWA KUWALENGA ASKARI TU HASA POLISI.

HII MBINU NI NZURI KWA KUWA MAGAIDI SASA WANAKWENDA KUPATA UUNGWAJI MKONO MKUBWA KUTOKA KWA RAIA. NIMESOMA COMMENTS KWENYE MITANDAO MBALIMBALI WATU WANAMPONGEZA GAIDI KWA KUTOWAGUSA RAIA WA KAWAIDA.

KULE KENYA WET GATE MAGAIDI YALIUA RAIA NDIO MAANA WALIPOTEZA USHAWISHI. HUKU KWETU MAGAIDI HAYAGUSI RAIA ILI TU KUPATA SUPPORT YA NGUVU YA UMMA.

YAJAYO YANAHUZUNISHA SANA.

Tuombe yasije mkuu! Kunakupoteana ohooo!
 
Humu tukionya kuwa hao mashehe wa uamsho Ni magaidi

Humu na mama yenu mkawa mnadai ushahidi uko wapi? Ina Maana Raisi Shein ,Raisi Kikwete na Raisi Magufuli wote walikuwa akili hawana wala ushahidi wa kuwashikilia miaka yote ya utawala wao kiasi kuwa Mama Samia ghafy ageuke kuwa na akili za kuwazidi Marais wote watatu watangulizi wake?

Sasa hao Tena waislamu wenzie wanamuonyeshea kuwa Waislamu wenzio magaidi tupo hewani

Asante kututolea mashehe wetu tuendeleze harakati za kigaidi
Kwa hiyo angevaa jezi za CCM ungesemaje. Hivi hao uliowataka ndio taasisi za kutoa haki.....

Kwann waendeaha mashtaka haijawahi kuthibithsa au kuwa na ushahidi Kwa kesi zote za ugaidi. Au kuna member yyt wa jf mwenye ushahidi juu ya ugaidi wwt (kama upon) hapa nchini.



Acha mihemko ndugu. Else tutasema hizi ni athari za fitnah inayotokana na propaganda na sheria ya ugaidi.

Na tatizo la akili linaojulikana kama islamaphobia.
 
Wakikudaka unawaambia ulikuwa unamdai 😂😂
Hupendi viungo vyako vya uzazi? Utahojiwa kwa staili mbaya sana. Utafanywa kila aina ya uchafu unaoweza kuufikiria. Hata kulishwa mavi yako mwenyewe inawezekana.
 
Katika zile video clips, kuna moja inaonesha askari akiwa ameshika bastola akiwa amekaribia kabisa kwa mtuhumiwa pale kibandani.

Lakini kuna kosa moja amefanya la kizembe sana..alionekana akitoa ishara kwa wenzake huku akiangalia /aki-face walipo hao askari wenzake badala ya kuconcentrate kwa adui, yaani atoe ishara kwa askari wenzake lakini huku akiangalia alipo adui.

Kosa hilo limesababisha akapigwa risasi ya mguu..
 
Back
Top Bottom