Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Wafaransa waache uoga hii migaidi iliamua kuwashambulia kule msumbiji Total kampuni yao ikaondoa wafanyakazi

Sasa hii migaidi imenogewa kuwa mfaransa muoga inaanza kufuata Nchi za nje waliko

Nyie wafaransa komaeni kule Mozambique.


Hawa magaidi wakikuona weak watakuja hata nchini kwako

Tanzania wameshatuona weak na huyu Raisi wetu mama Samia ndio maana wanakuja mchana kweupe bila haya Wala woga

Majeshi please Mama aweza kuwa migaidi inamuona weak nyie komaeni msiachie tu Raisi mkiona afanya maamuzi mabovu Kama aliyofanya kuachia madhehe was uamsho ilitakiwa mumwambie No.Mungemkatalia angewafanya Nini? Hana ubavu wa kuwafanya chochote

Nyie mna nguvu Hadi za kumwambi ripoti kitio fulani Cha polisi na uamiri jeshi wake wote ataripoti mbio akiwa analia machozi Kama mtoto mdogo

Be tough mkiona president ni weak
 
Achana na kwamba wangekua wawili...
Yaani yule yule mmoja angekua serious, angesumbua sanaa, Yule kutoka barabarani na wao ndio kumpiga ni sawa na kajiua mwenyewe,
Na kama umeangalia vzr hata wakati yupo pale katikati ya Barabara tena hafyatui anapiga kifua bado wanamkosa wanapiga Lami...

Wajitafakari,
Lakini kikubwa LimekufaView attachment 1908060
Kabisa. Yule ni kama kajiua mwenyewe
 
Kumbe kuna msafara raia waliusanua ukageuza
 
Huyu ni gaidi period.
Polisi wajitafakari sana
Msako uanze haraka sana mpakani Namanga na vitongoji vyake
Mi naona alikuwa na shida na polisi tu, angekuwa gaidi tungekuwa tunaongea habari nyingine sasa hivi, pale kwenye bus alikuwa na uwezo wa kuondoka vichwa vingi sana
 
Hivi huwa mnatafakari kweli kabla ya kufanya jambo lolote?


Yaani teknolojia yote hii unajiingiza kichwa kichwa kwenye jambo usilolijua!!?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Drama inaweza kutengenezwa ili Amiri jeshi atishwe kuwa nchi si salama.
Duh, hizi akili nyingine bana, kwa hiyo drama zinatengenezwa jamaa anatishia anaua polisi na yeye anauliwa!!

Najaribu kuwaza tu🤣🤣🤣

Pale palikuwa hamna drama, jamaa tu fyatu na akili zake, hakuelewa anataka nn, inawezekana hana akili timamu au kapandwa na mashetani yule,

Polisi walitakiwa wamkamate live wajue intention yake nnni haswa!!
 
Mbowe alikuwa anafadhili vitendo kama hivi.
alijificha kwenye chama lkn alikuwa akifadhili mambo kama haya. na huenda mtandao upo, hivyo Jeshi letu la polisi pamoja na vyombo vyote visiwachekee hawa wahuni walio jificha kwenye chama.
hawa ni watu hatari kwa amani yetu, hawana nia njema wanapaswa washughulikiwe kama ilivyo kuwa kipindi cha JPM.
Kwahiyo huyu wa leo alipewa laki ngapi na mbowe?!
 
Back
Top Bottom