Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Si ajabu ana wenzake imagine kama wangekuwa 10 au 20 na wanagawana maeneo mbali mbali ya jiji si ingekuwa kizaa zaa mara 100? Wako busy kutumia resources chungu nzima dhidi ya Chadema na hatima yake ndiyo hii.
Huyu ni gaidi period.
Polisi wajitafakari sana
Msako uanze haraka sana mpakani Namanga na vitongoji vyake
 
Hili gaidi kuua askari wawili ni uzembe wa askari... limezunguka muda mrefu, askari walikuwa wapi?
Hapana, kaka gaidi alipaswa kuwalaza chini mapolisiCCM kama 50 hivi, ili turudi kwenye misingi ya kuheshimiana. CCM na Mapolisi wanatuchezea sana akili.
 
Ndugu yangu ukiona hivyo ujue jamaa ana hasira sana na Askari hivyo anafurahia kudunguliwa kwa hao Askari, Kweli Askari wanatusaidia sana kutulinda lkn shida inakuja pale wanapowaonea raia wanyonge km vile kuwabambikizia kesi,kuwakamata bila kosa maalumu kisha kuwaweka ndani, halafu kutoka hadi walipe pesa ambayo haina risiti Halafu wanagawana wenyewe.Hata Mimi kusema ukweli huwa ninawachukia Sana tena sana hawa Askari wetu.

siku akija kukua kiakili atatambua si kila polisi ni wa kumletea hasira zake,yeye anatakiwa kudeal na huyo aliyembambikia kesi.

tabia ya kukasirikia kila mtu ni dalili ya stress,na kudhani kila baya ulilonalo linasababishwa na yeyote unauekutana naye.
 
Screenshot_20210825-171719.png
 
Ukiangalia kwa jicho la mbali kaka gaidi misheni yake kafanikiwa ie kaua polisi 3 na mlinzi wa kampuni binafsi 1 pia kajeruhi polisi 6.
Polisi wetu leo wamedhihirisha pasi na shaka kabisa kwamba ni dhaifu mno.

Wanatoka wengi kama kumbikumbi kwenda kupambana na mtu mmoja😳
Ndio maana jamaa hakupata shida kuwatungua.

Polisi ilikuwa zamani, hawa wa sasa wanasubiri amri ya kupambana na upinzani, kuomba rushwa na kupalilia matumbo.
 
Kapigwa na Askari waliokuwa Nyuma ya Daladala. Wali ji cover pale. Wakati kageukia upande mwingine askari wa Nyuma yake wakammaliza. Imeniuma kuona Kaua Askari Watatu na Mlinzi wa SGA mmoja. Yule ana Mafunzo, kwa wale mlio angalia Video zote. Kitendo cha Kujificha kwenye Kipanda Cha Polisi Mwishoni na Kuendeleza Mapambano kimenishitua. Pia kaua Askari. Daaah. Pole kwa Familia zao.
Kapigwa bastola na askari aliyekuwa bank ya stanbic bank ambako kulikuwa na maaskari wakirusha risasi, na yeye kuanza kuelekea zinakotokea hizo na wasingemuwahi angeingia stanbic maana askari aliyekuwa ukuta wa stanbic na aliyemleta ya kichwa angechelewa ingekula kwao
 
Jambo moja na la ajabu sana ni hili.
👇🏾
-Yule jamaa katoka wapi na siraha zile pasi kushukuliwa?.
-Kuna kitu kimejificha kutokana na tukio hilo?.
-Ametumwa kupima ulinzi wetu ukoje?.
-Kwa nini bakuwa na habari na raia waliokuwa jirani?.
-
 
Jambo moja na la ajabu sana ni hili.
[emoji1484]
-Yule jamaa katoka wapi na siraha zile pasi kushukuliwa?.
-Kuna kitu kimejificha kutokana na tukio hilo?.
-Ametumwa kupima ulinzi wetu ukoje?.
-Kwa nini bakuwa na habari na raia waliokuwa jirani?.
-
Jamaa alikuja na bastola tu akaua polisi na kuchukua Silaha zote zile toka kwao...!! Inafikirisha sana yani..
 
Back
Top Bottom