Mbunge Wa Kitaa
Senior Member
- May 25, 2014
- 122
- 118
Kapigwa na Askari waliokuwa Nyuma ya Daladala. Wali ji cover pale. Wakati kageukia upande mwingine askari wa Nyuma yake wakammaliza. Imeniuma kuona Kaua Askari Watatu na Mlinzi wa SGA mmoja. Yule ana Mafunzo, kwa wale mlio angalia Video zote. Kitendo cha Kujificha kwenye Kipanda Cha Polisi Mwishoni na Kuendeleza Mapambano kimenishitua. Pia kaua Askari. Daaah. Pole kwa Familia zao.Narudi kwa target aliopigwa,mpigaji ni mjuzi wa shabaha .risasi moja ya kichwa tena naisi imepigwa na mtu aliekua juu.NDUGU ISIKIE TU HIO KITU INAITWA SMG -1954