Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Picha za miili ya polisi ziliianza kurushwa na watu tena humu jamvini lakini mods wamezifuta
 
Picha za miili ya polisi ziliianza kurushwa na watu tena humu jamvini lakini mods wamezifuta
Mbona wasap hazitembei lini watz wamekuwa.wastaarabu ivo?

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313] angalia cheo cha IGP
 

Tuombe yasije mkuu! Kunakupoteana ohooo!
 
Kwa hiyo angevaa jezi za CCM ungesemaje. Hivi hao uliowataka ndio taasisi za kutoa haki.....

Kwann waendeaha mashtaka haijawahi kuthibithsa au kuwa na ushahidi Kwa kesi zote za ugaidi. Au kuna member yyt wa jf mwenye ushahidi juu ya ugaidi wwt (kama upon) hapa nchini.



Acha mihemko ndugu. Else tutasema hizi ni athari za fitnah inayotokana na propaganda na sheria ya ugaidi.

Na tatizo la akili linaojulikana kama islamaphobia.
 
Wakikudaka unawaambia ulikuwa unamdai 😂😂
Hupendi viungo vyako vya uzazi? Utahojiwa kwa staili mbaya sana. Utafanywa kila aina ya uchafu unaoweza kuufikiria. Hata kulishwa mavi yako mwenyewe inawezekana.
 
Katika zile video clips, kuna moja inaonesha askari akiwa ameshika bastola akiwa amekaribia kabisa kwa mtuhumiwa pale kibandani.

Lakini kuna kosa moja amefanya la kizembe sana..alionekana akitoa ishara kwa wenzake huku akiangalia /aki-face walipo hao askari wenzake badala ya kuconcentrate kwa adui, yaani atoe ishara kwa askari wenzake lakini huku akiangalia alipo adui.

Kosa hilo limesababisha akapigwa risasi ya mguu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…