Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Marekani hata kama ikitokea ni LAZIMA watajua ni nani, alitoka wapi na alitaka nini, silaha alipata wapi nk Hapa kwetu sahau kujua chochote kuhusu huyo jamaa ndugu, lazima upigwe fix kwamba alikuwa anadai mafao yake pale ubalozi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Lee
Ugaidi una stages katika utekelezaji na mojawapo ni test of security.
Vyombo vya usalama vijiridhishe kama hii ni tukio moja au linakwenda kuzaa matukio mengine gradually kulingana na response yetu.
Isijekuwa wanapima kina cha maji ili wakianza na target kubwa wawe wameshasoma strength and weaknesses za security organs zetu.
Natoa angalizo,tuwe makini.
 
Nenda kaweke mzigo wetu pale kibandani halafu uje chukua mali yako . Kufika kibandani anakuta mbili zipo [emoji24][emoji24]

Mmmmh Unazingumzia nini Mkuu ?? Kama nakuelewa alfu napotea
 
Uislamu na Ugaidi ni sawa na ukristo na ukafiri kaka
 
Ukiangalia kwa jicho la mbali kaka gaidi misheni yake kafanikiwa ie kaua polisi 3 na mlinzi wa kampuni binafsi 1 pia kajeruhi polisi 6.
Kuna umuhimu wa kuangalia upya mfumo, utendaji,sheria,sera, miundombinu na taratibu za polisi, usalama wa raia na taifa kwa ujumla kwanini, watu wanaofanya haya matukio tunaishi nao mitaani either wageni au wenyeji kwaiyo ilitakiwa chanzo cha kwanza cha taarifa iwe ni raia ambao wangekua wanatoa viashilia vya matukio hata kabla hayajatokea.
Sasa hivi hatuna mawasiliano mazuri kati ya raia na vyombo vya usalama hasa polisi kutokana na kuwa either ni muundo au taratibu za kipolisi sio rafiki kwa raia,chuki za raia kwa vyombo vya usalama, rushwa nk
 
Achana na kwamba wangekua wawili...
Yaani yule yule mmoja angekua serious, angesumbua sanaa, Yule kutoka barabarani na wao ndio kumpiga ni sawa na kajiua mwenyewe,
Na kama umeangalia vzr hata wakati yupo pale katikati ya Barabara tena hafyatui anapiga kifua bado wanamkosa wanapiga Lami...

Wajitafakari,
Lakini kikubwa Limekufa
 
na lenyewe litakuwa sometimes zina charge likaona mateso nitakayopata baada ya hapa ni bora nikauone moto wa akhera tu
alafu hawa dawa yao ni ndogo, huwa wanadanganyana kwamba wakifa kigaidi wanakwenda peponi, dawa hatuwaui, unakata miguu, mikono, unamuhasi, halafu unamrudisha kwao, aishi maisha yake yote akijuta.... akijiua juu yake... kingine ni kusaka familia zao, watoto, ndugu, mke, baba , mama halafu wanafungwa... linakuwa fundisho kwa magaidi mengine, likijua litasababisha familia yake iingie matatani anakuwa mpole... kuna kipindi bora uwe mnyama tu....
 
Wanasema labda ni war veteran kutoka Ethiopia . Ni Mhindi.
Hawa polisi sijui kama wanasema kweli. Aliwashambulia au walimsimamisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…