Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi


Chief ni vizuri nawewe ukawa miongoni mwao ..kesho kukicha nawewe fanya tukio tukuone sio muoga na nikatika wale wengi ambao nchi inawahitaji...
 
Ushauri kwa Intelejensia ya Polisi:
1.Mnakumbuka mtandao wa watu wanaovusha "raia kutoka pembe ya afrika"(Halafu tunadaganywa kuwa ni waethiopia"wamekamatwa wakielekea Msumbiji au Afrika Kusini.
2.Wizara ya mambo ya ndani imeshawahi kuomba fedha ya kufunga mashine za "scan" ili raia wa kigeni wanaoingia nchini picha zao zichukuliwe na kuwa kwenye kumbukumbu za Idara ya Uhamiaji??(Leo kazi ingekuwa ndogo, maana tungesoma mfumo wa "data" za wageni walioingia, waliopo na wanatokea wapi na nani ni mwenyeji wao, watakaa nchini kwa muda gani na kwa shughuli ipi?!!).
3.Je?!zile camera za mitaani zilifungwa,zinafuatiliwa zifungwe maeneo muhimu.Maana naiona fedhaa nyingine ,kama ubalozi wa ufaransa na taifa lolote la nje likitoa taarifa ya mtu aliyefanya tukio hili halafu sisi tuishie kusema "uchunguzi" unaendelea.

Nawashauri vyombo vya dola:
1.Chukua picha, twende nchi jirani kwa ajili ya "scan" tujue ametokea wapi, tujipange kushughulika na mtandao wa mhalifu huyu.
2.Mjikumbushe/muwakumbushe wanasiasa/watawala umuhimu wa vyombo vyetu vya dola kuishi kitaaluma zaidi badala ya kuishi kisiasa,matokeo yake kutumika kisiasa na hivyo kupoteza muda wa kulinda maslahi ya taifa, na kukimbizana na raia wanaotafuta haki zao za kikatiba kutoka kwa watawala.
 
Si ujitokeze na wewe wakupe ya kichwa!
 
Mbona imeshajulikana mapema mkuu ni Msomali mtanzania anaishi Fire mkuu!!?
 
Daah kuna watu wapuuzi aah ungekua ndugu yangu wewe mjinga uliyepiga namba ya huyo jamaa ningekukana shuaini kabisa. Kutafuta matatizo kijinga na unakuja kutangaza humu mfyuuuu
 
Watanzania wakiwa na akili ndogo kama yako watadedi kama nyumbu
 
Kuna mambo mengi sana ndani ya muda mchache,jamaa angeamua kuichapa ile daladala iliyokuwa karibu yake.
Daah ...
Ila pia Jeshi la Polisi liamke hizo ndizo mission sasa sio kukimbilia jukwaa la katiba asubuhi asubuhi na mabunduki na unakuta mijitu imevaa kininja ninja kuja kubeba watu waliokaa na vitabu.
 
Taratibu za kijeshi ni kwamba huwezi kupeleka kikosi bila kujua uzito au wepesi wa adui.
 
inadaiwa Mbowe aliwarubuni na kuwatumia vijana wafuatao katika matendo ya Kigaidi;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILAHI LINGWENYA.
Tafakakuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…