Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

IMG_0058.jpg
 
inadaiwa Mbowe aliwarubuni na kuwatumia vijana wafuatao katika matendo ya Kigaidi;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILAHI LINGWENYA.
Tafakakuri.
kwa nini alikuwa ana target maaskari tu?! aliwalenga kuwauwa maaskari.
 
Wakuu,kuna video moja jamaa flani hivi watu wanasema ni askari alimfata yule bwana mkubwa kibandani,wakati bwana mkubwa akiwa anarushiana risasi na askari,hivi yule jamaa ambae ni askari aliingiaje pale katikati ya msitu wa risasi,tena kizembe namna ile?
Mzembe sana yule Askari na si uliona alipigwa risasi? Labda he was trying to be a hero kitu ambacho mtu hupaswi kufanya...sijui anaendeleaje maana pale mwishoni wenzake walienda kumsaidia. Tumuombee apone
 
Back
Top Bottom