Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

[8/25, 7:31 PM] First Born: Alikua anaenda kumuhuzia mtu dhahabu maeneo ya masaki police wakamkamata so wakat wanaenda kituo salander
[8/25, 7:31 PM] First Born: Polisi ndio chanzo aise walitaka kumzulumu
[8/25, 7:31 PM] First Born: Wakaingia chobingo hili wamalizane police wakaleta tamaa yenye akawawahi na sirahara yake ndogo
[8/25, 7:31 PM] First Born: Huyo dogo anamigodi ya dhahabu kule chunya aliachiwa na baba yake
[8/25, 7:31 PM] First Born: Huyu dogo nakaa nae mtaa mmoja police ndio wamemzungua madini yake
[8/25, 7:31 PM] First Born: Jana usiku tulikua nae mtaa I aise police ndio wameleta tamaa zao tu
[8/25, 7:31 PM] First Born: No dogo mmoja cool sana
[8/25, 7:31 PM] First Born: Baada ya hapo akachukua hizo 47 ndio kuuza kupiga hivyo huku akisema anataka police
[8/25, 7:31 PM] First Born: Ata cc tunashangaa sana kutokea hivyo
[8/25, 7:31 PM] First Born: Huyo dogo sio jambazi kabisa yani
[8/25, 7:31 PM] First Born: Inasikitisha sana... Kumbe polisi ndio walisababisha hii shida yote... Uchunguzi wa kina na wauwazi utaitajika...

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hizo movies zinawadanganya sana, ni mara ngapi polisi wa Marekani wameua raia kwa risasi tena wakati mwimgine kwa majibizano tu ya mdomoni.

Movie na uhalisia ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Inakuwaje wanajamvi!

Bwana Yesu asifiwe na awabariki wote hadi mshangae!

Tukio la kuogopesha la kigaidi leo lililopelekea kupotea kwa maisha yasiyokuwa na hatia ni tukio la aina yake.

Nimechunguza ile Coaster Gaidi alisimama kando yake ilikuwa na picha ya Yesu nyuma.

Bwana ndie mchungaji wetu hatutapungukiwa na kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…