Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Yaani mkuu inashangaza kabisa..risask mvua zote holaaa.

"Twatwa..twatwa..twatwatwatwatwatwaaaaaa..twa..twatwatwaaa...twatwatwatwaaaaa..."

lijamaa ndo kwaaanza linajipiga piga kifua😂😂😂😂😂😂😂

Halafu baada ya kumwangusha, ndo wakaanza kumchapa nyingi za matako😂😂
 
 
Hili tukio linafikirisha sana, sema sisi wabongo kesho kikiibuka kisa kingine tunasahau hili.
 
Mkuu kusalenda kwake ni alikuwa akinyoosha mkono mmoja huku mkono wa pili akiendelea kuishikilia bunduki sasa ni kusalenda gani huko mkuu..? Hadi alipoanguka chini kwa risasi polisi walimfuata na kuichukua bunduki wakati bado anaishikilia...
Alikuwa yupo kwenye panic! Nakama umeshaona Kuna video moja alikuwa anashambuliwa na polisi mmoja hivi alikuwa pembeni ila alikuwa katika 50/50! Namaanisha hakuwa na hakika ya kwamba akinyoosha mikono je,wataacha kushoot..?? Panic ilimfanya ashindwe kuamua kwa asilimia Mia afanye kipi haswa ila alikuwa kafika tamati tafuta hiyo video akiwa anatoka kwenye kile kibanda usome body language yake utaelewa.
 
Kuna shida hapa...nadhan una ajenda boss
 
Sirro kathibitisha kaua polisi na kupora hizo silaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…