Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
We mze kuna pahala umeniachia nzi imebidi nichekee tu aiseš¤£Hahahahah ile ni AK47 mzee tena yenye mkanda wa kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mze kuna pahala umeniachia nzi imebidi nichekee tu aiseš¤£Hahahahah ile ni AK47 mzee tena yenye mkanda wa kutosha
Hizo ofisi ziko equipped for a rapid emergency response?Kuna ofisi kubwa za usalama wa nchi chini ya km moja lakini watu wanauawa bila response!
Nimeona.zote sasa jambazi anatembeaje kama ngongoti?hujaona clips zote...huyo anaweza akawa na mafunzo kabisa...kuna sehemu alijificha kwenye kibanda akawa anashambilia...atoroke ili iweje wakati ameshamkadhi mola maisha yake
Umeona video mkuu? Hakuna cha sniper hapo
Acha kabisa mzee huo mziki ni mneneWe mze kuna pahala umeniachia nzi imebidi nichekee tu aiseš¤£
Unawachokoza kina idirisa?Jamaa kwenye video anaonekana kavaa kikofia flani hivi chechefu.
Motivesheno spika wanasema, "fear is not real"Hata usiogooope utakutana navtukio live kabisa ndo utajua hofu na mkojo havikai mwili mmoja
Si ungeenda kumjeruhi MkuuHuyo alikuwa wa kumjeruhi tu ili akahojiwe, nimeanza kunusa uvundo hapa
Sio kichaa huyo kwamba mchana wa jua kali azimwage kama njugu
Halafu distance waliyokuwepo askari na yeye si kubwa sana.Kwa idadi ya risasi zilizo mkosa alikuwa na dawa ya kinjekitile ngalwe bokelo mpaka ilipoishiwa nguvu.
Hiyo ukiiona tu kwa mbali inabidi upotee fasterHahahahah ile ni AK47 mzee tena yenye mkanda wa kutosha
Siye huwa tunasema achaa iweee.Acha kabisa mzee huo mziki ni mnene
Nahisi kama wamejaribu kuchora katuni kama za Masoud hivi, wametuachia tutafsiri wenyewe.Hahahahah ile ni AK47 mzee tena yenye mkanda wa kutosha
Inadungua mtu mtaa kwa mtaa yani akikaa angle nzuri anakushusha kama bua la muhindišHiyo ukiiona tu kwa mbali inabidi upotee faster
Hii imekaa kama movie ya utayari jambazi gani hakimbii, hajifichi, hashambulii basi ili apate hata human shield ajaribu kutoroka??
Huenda ni mbowewalikuwwDuh...!.
Endelea kutu update!.
P
Walikuwa wakiiufake ugaidi sasa imetua rasmi, tusubiri natuoneGuys I am informed thereās a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?
Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic.
========
Mtu mmoja ambaye alionekana kufyatua risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam amedhibitiwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama
IGP Simon Sirro amesema mtu huyo amewaua Askari wawili katika majibizano ya risasi kabla hajauawa
View attachment 1907510
View attachment 1907511
View attachment 1907519
Hii ni developing newsā¦
Kuna mtu mmoja, kapigwa risasi na kuanguka katikati ya barabara
View attachment 1907602
View attachment 1907621
View attachment 1907645View attachment 1907646
Huyu anadaiwa kauawa.
usisikie mkuu yaani usijethuubutu kuenda eneo la tukio kabisa
sasa wale wamama wanaoomba hela maeneo hayo sijui wamepona