Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Ashapigwa shaba...

Polish_20210825_141248800.png
 
Hata usiogooope utakutana navtukio live kabisa ndo utajua hofu na mkojo havikai mwili mmoja
Motivesheno spika wanasema, "fear is not real"

Mfano huenda wewe unaogopa nyau, mie siogopi.
Mie naogopa mbu, wewe hauogopi.
Wewe unaogopa mguu wa kuku, mie siogopi.
wewe unaogopa kufa, mie siogopi.

Huo ni mfano tu, SO UOGA NI CHOICE TU/OPTION.
 
Hahahahah ile ni AK47 mzee tena yenye mkanda wa kutosha
Nahisi kama wamejaribu kuchora katuni kama za Masoud hivi, wametuachia tutafsiri wenyewe.

Uamsho wametoka
Gaidi kakamatwa

Jamaa kaingia mtaani na silaha nzito na hakuwa na nia ya kufanya mauaji, magari mengi yalikuwa na watu, angeweza kumimina hata kwa daladala liliokuwa mbele yake.

Je, wanapima uwezo wa ku-respond ili wafanye tukio kamili?

Je, kuna kitu wanataka kuhusianisha?

Waliokuwa kwenye daladala, hakuna aliyesema jamaa alikuwa akisema nini?

Hata sijui nini maana yake hii!
 
Huyu shujaa anapoteza nguvu zao bure. Kama una nguvu za aina hii, kwa nini usiondoke na dikteta mmoja wa kike na dunia ikakumbuka daima kwa ushujaa huo? Ama ukaondoka na mkuu wa wezi wa kura? Ama na Mutungi wa maji? Ama na Zirro? This is misuse of energy na matumizi mabaya ya bunduki na risasi!

Soon utamsikia mzee Zirro - "Intelijensia yetu imeonyesha kuwa alitumwa na Mbowe!"
 
Duh...!.
Endelea kutu update!.
P
Huenda ni mbowewalikuww
Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?

Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic.

========

Mtu mmoja ambaye alionekana kufyatua risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam amedhibitiwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama

IGP Simon Sirro amesema mtu huyo amewaua Askari wawili katika majibizano ya risasi kabla hajauawa


View attachment 1907510
View attachment 1907511


View attachment 1907519


Hii ni developing news…

Kuna mtu mmoja, kapigwa risasi na kuanguka katikati ya barabara
View attachment 1907602
View attachment 1907621
View attachment 1907645View attachment 1907646
Huyu anadaiwa kauawa.
Walikuwa wakiiufake ugaidi sasa imetua rasmi, tusubiri natuone
 
Back
Top Bottom