Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Naona bajaji imeachwa yatima hapo chap ndo mjitafakari nyie mnaojidai mnasikiliza wanasiasa kuingia front line yani amani ni muhm kulko mnavodhania
Kwanini usijifikirishe na wewe kuwa hata askari nao ni binadamu na wanaweza kufa. Na huyo muuaji hadi kuwalenga polisi tu alikuwa anatoa ujumbe flani?
 
Mi ningekuwa ni polisi ningempiga za miguuni ni mkamate nimuulize katumwa na nani.

Inawezekana kumuua kwake na mtandao wake bado haujajulikana ukaja kusumbua vilevile
You are not serious! Kunamtu huko kasema hofu na mkojo havikai sehemu moja..🤣
 
Kwa haraka haraka huyo mtu ana matatizo ya akili. Pia Mungu mkubwa angeamua kuwafyrulia abiria wa kwenye coaster sijui ingekuwaje
katika kosa kubwa kuliko lililotokea leo ni kutoamua kufanya uchunguzi wa kina na kuishia kusema ni mgonjwa wa akili.

kwanza security camera zote zilizopo maeneo ja jirani zifuatiliwe kujua amefikaje hapo, unaweza kuta kuna gari kabisa ilimleta ili kuja kutekeleza alichokusudia.

au inawezekana kuna wenzake sasa hivi wamekaa pembeni kupima hali ya usalama ilivyo.

ukumbuke gaidi mara nyingi huwa anaenda mahali akitegemea kuwa atatekeleza alichofanya lakini na yeye hatoki anakuwa ameshapanga kufa.

hili sio jambo la kuachia njiani kudhani ni mgonjwa wa akili kwani hata baada ya kusimama katikati ya barabara ni kuwa anaonekana aliishiwa silaha.
 
yes, unaweza kuta nyuma ya pazia kuna tukio linapangwa, yani mtu kama huyo na silaha hadi amefika hapo ukute hata kuna gari imemshusha wakamwambia tangulia sisi tutakuja kumaliza kazi siku nyimgine.
Wangemkamata aisee kivyovyote hata kama kwa kumvunja miguu na mikono wangepata infos nyingi sana. Ila ndio hivyo, jnaonekana kabisa alijua atakufa keshajitoa mhanga hata kama ni ujumbe kuutuma keshautuma. Vyombo vya ulinzi na usalama viingie zaidi kazini.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Haya mmewaita Magaidi wamekuja sasa,Sio yule mwenye bastola moja mnaemshikilia
Ata huyo sio gaidi anaonekana ni mtu tu na stress zake.gaidi gani anaongea hivyo nakutembea hivyo barabarani.Ila kwavile tunawashwa siku ugaidi serious ukifika sijui itakuaje.ngoja tuone maana tunawashwa kweli.
 
Unawezekana athari ya chanjo hiyo.Tutaona mengi.
 
wamekosea sana kumuuwa!. Wenzetu watu kama hawa awauwai Kwani anaweza kuwa amebeba ujumbe mzito kwa usalama wa nchi husika siku zijazo.Sasa tumebaki kizani😥Kama vile yule aliemua Osward aliemuuwa JF Kenedy.

India ilipotokea shambulio la Ugaidi Mumbai walipambana nao na kuuwa magaidi karibia wote wakambakisha mmoja.Alipobanwa alitoa mpango mzima na nani aliewatuma,Serikali ya India walipojirizisha kuwa Dogo ametoa yote yaliomo akilini mwake wakampiga Kitanzi
Mkuu huoni wangezidi kungojea jamaa angweza kuamua kuua zaidi japo imenigusa. Naamini jamaa ana matatizo ya akili. Tusubiri taarifa zaidi. Iyo ak 47 alipata wapi?
 
Back
Top Bottom