Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Tatizo mama Samia anajifanya mjuaji kudharau watangulizi wake wote waliowakomalia migaidi hiyo mishehe ya uamsho

Raisi shein mwislamu mwenzao aliwakomalia ,Kikwete mwislamu mwenzao aliwakomalia , Magufuli akawakomalia yeye ndie anajitia mjuaji akawaachia

Walichofanya kimataifa ni kitu kikubwa .Ubalozi wa ufaransa unatazamana na ulipokuwa Ubalozi wa Marekani ambapo magaidi walishambulia .

Message wanayo send Ni kwamba ok all past presidents walitudhibiti we have our own president now we are back!!! To prove we attack the same place we attacked
 
IMG-20210825-WA0158.jpg
 
Mimi nadhani imetumika akili ndogo sana kumuua. mtu alikuwa sehemu ya wazi,kama polisi wangekuwa na snipers, angepigwa risasi kwenye bega lilokuwa na bunduki ,bila shaka angedondoka chini.baadae wangemfuata akiwa hai ili atoe maelezo ambayo yangewasaidia sanaaaa polisi.
ni Tanzania tu ambapo polisi anaua mtu mwenye ushahidi hata kabla hajaupata huo ushahidi. The guy was positioned at a conspicuous place , why not use your stupid blame to catch mim, alive?
 
Mbna huyu anaonekana kama kajeruhiwa mpiga picha anasema.. "sijui kamuua""
Mkuu huyo askari gajajeruhuwa,hapo anakroo kutafura eneo safi kwa udunguaji.

Huo ni mwendo ambao soja yeyote ndio anatakiwa atembee akiwa maeneo hatarishi,hapo akisimama anakutwa yeye ndio tageti.

Na hao watu wanajiyliza kama huyo askari keshamuuwa yule mtu,inaonesha huyo askari ndio kafanya mashambulizi dhudi ya yule jamaa.

Ingelukuwa alitepigwa ni huyu askari basi hawa wachukua vidio wasingejiuliza kama kamuua kwa sababu huwezi kujiuliza kama mtu kafa au mzima wakati unamuona akifanya vitendo kama huyo askari anavyoonekana.
 
Ni tukio la kutengeneza.Gaidi huwa hapigi risasi randomly.Gaidi huwa anakuwa na specific target at specific time.

Subiria jioni serikali itaanza kujichanganya yenyewe na kujikuta inaanika ukweli wote bila ya kukusudia kwa sababu hawakuwahi kuwa na akili.
 
Mimi nadhani imetumika akili ndogo sana kumuua. mtu alikuwa sehemu ya wazi,kama polisi wangekuwa na snipers, angepigwa risasi kwenye bega lilokuwa na bunduki ,bila shaka angedondoka chini.baadae wangemfuata akiwa hai ili atoe maelezo ambayo yangewasaidia sanaaaa polisi.
ni Tanzania tu ambapo polisi anaua mtu mwenye ushahidi hata kabla hataujapata huo ushahidi. The guy was positioned at a conspicuous place , why not use your stupid blame to catch mim, alive?
Polisi wanaua hata mhalifu akiwa hana hata jiwe mkononi. Sembuse mwenye bunduki. Acha masihara
 
Shortly kuna meseji kubwa imetumwa. Nafikiri vyombo vya ulinzi viimarishe doria za ushirikiano. Ikibidi JKT wasaidie polisi kufanya doria.
Jkt hana mafunzo makubwa yakufikia kugewa idhini kubwa kama hiyo ndio maana wanakuwa recruited na jeshi la polisi then wanapigwa msasa(refresher)jkt ni nusu raia.Hapo ungeshauri pawepo na joint patrol/peace keeping itayofanywa na jwtz pamoja na polisi wetu mahiri.
 
Back
Top Bottom