Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Ulimi unaumba
Waliopewa nchi ni wapiga deal
There is more to come
Kuna mtu anapewa safari kila siku nyuma kuna watu wanafanya yao
Wanapanga mipango
Jeshi la Wananchi huu ni mfupa wa samaki fanyeni yenu tuanze upya.
Nyumba teule kuko na majambawazi
Akili za kisukuma
 
[emoji848]
255654759291_status_3b382e73ee8c444c96b8a0ee49dbccef.jpg
 
Haukuwa msafara wa polisi bali ni msafara wa mkuu wa uhamiaji(CGI).
We elewa hivi.

Kama mwenyeji wa Dar na njia hio unaijua vema.

Kutoka Sarenda kina mataa hapo ilipo stanbic bank.

Haapo kuna askari polisi wengi sana alitoboaje hadi afike ubalozi wa ufaransa?

Mtu mmoja anbaye hana bullet proof wala helmet anasumbuaje kundi la polisi tena anatembea wima wao wamejificha nyuma ya mguzo[emoji28][emoji28][emoji28]

Tuendelee hao polisi wawili waliouawa kuna aliyewaona?

Mbona baada ya jamaa kuekti kafa wakaja mbio polisi kibao na kuondoka nae bila kutaka watu wapige picha?
 
Yani tunalingana kabisa wa 91? Kakatisha maisha ya watu bure
 
Tunajua hili lazima ni suala la uanaharakati wa kidini kwa huyu kijana msomali kuua asjari wawili wa polisi.

Nimesikitikia utayari wa polisi wetu waliokuwa lindo, kuvamiwa na silaha kuchuliwa na wao kuuwawa.

Halileti picha nzuri kwa utayari wa askari wetu.

Hata hivyo RIP vijana wetu.
 
Familia iwekwe kizuizini inasemekana anaishi fire upanga
IMG_20210825_162454.jpg
 
Kwa tukio lililotokea leo jijini Dar, tusahau kabisa kuona mzungu yeyote akitia mguu mahakama ya Kisutu au kupiga kelele juu ya kukamatwa kwa Mbowe. Kwa mara nyingine Kila mmoja ameona hatari kubwa inayoweza kuipata nchi kutokana na uhalifu uwe wa aina ya ujambazi au ugaidi. Mungu atuepushie mbali.

Hata wafuasi wa Chadema sasa wanatambua kwa nini serikali ina ukali mkubwa dhidi ya kwa vitendo vya uhalifu vikiwemo vile vya ugaidi. Wametambua kwa nini serikali haiko tayari kumwachia Mbowe mpaka kieleweke mbele ya sheria.

Ni bahati mbaya sana baadhi ya wanasiasa walikuwa wakilichukulia jambo hili kwa mzaha mzaha. Sasa tuache mzaha. Kila mmoja akae mkao wa kulinda taifa letu dhidi ya hatari yoyote. Kila mtu amchunge mwenzake hata kama ni kiongozi wako wa siasa au dini usikubali kupumbazwa kuwa hawezi kuwa mwalifu au gaidi. Tumeona kwa muda mfupi taifa lilivyopoteza askari wake na suala hili kuleta taharuki. Tutafakari sana.
 
Tunajua hili lazima ni suala la uanaharakati wa kidini kwa huyu kijana msomali kuua asjari wawili wa polisi.
Nimesikitikia utayari wa polisi wetu waliokuwa lindo, kuvamiwa na silaha kuchuliwa na wao kuuwawa.
Halileti picha nzuri kwa utayari wa askari wetu.
Hata hivyo RIP vijana wetu.
Kumbe ile silaha walinyang'anywa polisi?
 
Mkuu huyo askari gajajeruhuwa,hapo anakroo kutafura eneo safi kwa udunguaji.

Huo ni mwendo ambao soja yeyote ndio anatakiwa atembee akiwa maeneo hatarishi,hapo akisimama anakutwa yeye ndio tageti...
Walijaribu kuepusha collateral damage
 
Back
Top Bottom