Vimada nao taabani wamekuwa blocked watu wako isolation na wake zao, mama hakikisha inakaa na simu ya mumeo masaa yote,Hiki kipindi kitakua kigumu sana kwa ma barmaid waliokua wamezoea kuiba chenji zetu na kudowea mishkaki yetu.
Upande wa changudoa ndio kabisaa. Nani ataenda kupata kimoja cha chapchap Kinondoni au Sinza kipindi hiki?
Yaani barmaid kama unayo nauli nakushauri urudi walikokutoa. Nyapu haina soko na bar zimefungwa
Safi sana wakirudi nyumbani wakaawambie wake zao wametandikwa na wanaume [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Polisi wamevamia Bar za Kinondoni kutawanya mikusanyiko iliyokuwa inaendelea wakati wa usiku kipindi hiki cha janga la #CoronaVirus
Bar na shughuli nyingine zilizokuwa zinaendelea kwa muda wa usiku zilitakiwa kufungwa
Polisi hao walitawanya watu starehe baada ya kutoa tahadhari kwa ving’ora. Watu walitandikwa bakora ili wakalale majumbani kwao
Awali mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alizuia uzuluraji kwa kipindi hiki cha janga la #COVID19. Na kuwataka watu wakae nyumbani baada ya muda wa kazi na wasitoke bila sababu maalum
View attachment 1421254
Hapo sio kulichafua, walikuwa kazini Mimi nawapongeza maana punda haendi bila viboko, tahadhari zote kweli mtu bado anakaidi wawachape tu [emoji3][emoji3][emoji3]Acha kulichafua jeshi letu la polisi
My life is mine to remember
Wanakaa bar ku discuss,dissect na ku analyze jinsi kolona ilivyo contagious na tishio kwa binadamu!Watu wabishi. Sasa wanakaa bar ili iweje msimu huu wa corona?
Kama ni bia si wanunue wakanywee nyumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu kadhaa duniani wanatandikwa tu na kuachwa wakajikune vizuri sehemu walizopigwa maana hakuna sehemu ya kuwaweka wabishi wa CoronaIla Tanzania Sijui kuna shida Gani,
Hivi kweli polisi na korona hili wanakamata watu wanawajaza kwenye Defender wanawajaza mahabusu ,wanazuia kitu gani?!
Yaan wewe kubwa zima unasubiri serikali ikuambie jilokie, wewe hujui kama kuna virus duniani?
Eti utumwa, hayo mawazo yako ndio ya kitumwa.
Unaikinga familia yako wakati unaenda kukusanya virus Bar na kuwaletea?Acha ujinga ww, this is free country, kama ww uwez kujikinga kaa ndani na familia yako
Me najua kujikinga na familia yangu najua kuikinga, so kama hawataki tuende bar then wasema na sio kutegemea tuamue wenyewe ndio maana kuna kiongozi
Unaikinga familia yako wakati unaenda kukusanya virus Bar na kuwaletea?
Wewe mwenyewe hujui kama unahitaji ukae ndani hadi kiongozi wako akwambie? Umejigeuza Ng'ombe huli mpaka uchungwe na bakora,
Pathetic.
Eddy sasa hapo umekwenda mbali. Kina mama wakae na simu zetu? No way. Vinginevyo nitoe laini yanguVimada nao taabani wamekuwa blocked watu wako isolation na wake zao, mama hakikisha inakaa na simu ya mumeo masaa yote,