Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

Harafu unakutana na pub inaitwa malaana
 
Ukisema njaa, hata kwa straight pia hivyo.
Nazungumzia ule uwezo japo kdg wa kujitafutia kipato binafsi. Tofauti na kutegemea kinyeo km njia ya kujikimu kimaisha lol
Basi sababu ya uchoko isingekuepo maana machoko wengi wa bongo ukiacha kufanyiwa ukatiri utotoni na boarding wengi ni tamaa zao za kujipatia kipato kirahisi rahisi
 
Ao ******* watakuwa washirikina
 
Hatuna Yao ni kuacha uchoko japo siwahukumu Kwa kuwa machoko kwasababu sijajua sabubu ya wao kuwa machoko
 
Basi sababu ya uchoko isingekuepo maana machoko wengi wa bongo ukiacha kufanyiwa ukatiri utotoni na boarding wengi ni tamaa zao za kujipatia kipato kirahisi rahisi
Ushoga hauko sababu ya B kujiuza au kudanga, uko ki namna ingine. Tatizo lililoko hapa nchini ndio hilo hadi wanawake wanakua makahaba na madada poa.

Kunao mashoga wanajitegemea wao, na wana make pesa zao pasipo kuuza kinyeo, ni akili, juhudi na maarifa tyuuh.
 
Hilo liko wazi mkuu ila asilimia kubwa la mashoga ni matokeo ya ukatili wa kijinsia
 
Ivi nao wakiona mende au panya huwa wanapiga kelele..... Ohoo mdudu?
Najiuliza mwanaume anae acha kufanya na mwanamke tena mbele, na aende kwa mwanaume mwenzie ategewe mnduku. Kweli tumeumbwa tofauti.
 
Mkuu, B ni nani/nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…