Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

Sasa wapewe pampas maana weshaamua kuiharibu njia.
 
Pombe,uzinzi kila kitu
Kuna mtu anaweza akazaliwa dar au ameishi dar miaka 30 hapo asipajuwe
Na imani hata rc dar hapajuwi
Wafanye waende hapo waone balaa lake

Ova
Ukiingia maeneo yao na wakagundua sio mwenzao hawadhuru?
 

5b za wasanii hizo ndio Serikali imewekeza huko

Kila unapowekeza mahali kuna faida na hasara
Sasa kuna ajabu sagaji la taifa kuwekeza huko
 

Attachments

  • AQNnrEnC15BXKd0UjJI9UyWPMhwZDY-Nap3FvEJyBdsy9J6ieEieH8BAgybDZ-7sSoiAHJZphMUbT8gqNm96tykm.mp4
    11.2 MB
dar es salaam yote mim naona maadili hamna ni wachache sana walio timamu.
kamwe siwezi kuoa dar.
mama zao wenyew tu wanamazoea balaa.

vijana WA kiume wa dar nao hatar kwel wanavaa vikaputura mapaja njenje na walivo na miguu membamba utasema ya senene wao wanaita fasion.

vijana wa kike na vibint vina adapt tabia za mama zao umalaya pia kikiamua kukuchamba duu vinamaneno utadhan kimemeza hard disc 1TB.
 
mlokole unapigia chabo makalio ya mwanaume ๐Ÿ˜€
kwani tunapotembea mtaani hatuyaoni, au tulipokuwa tunachagua mke hatukuwa tunayajua? au unafikiri tulizaliwa mbinguni? tulikuwa wazinzi kama wewe ila tumeacha. Yesu anabadilisha, au unafikiri hatuyajui makalio ya wanawake na chochote kile unachokijua?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wana fedhehesha kivipi? Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya wasio wahusu. Lol
Sijui kama ni dini ama malezi ila Ninapokaa na mtu wa jinsia kama yangu alafu a-behave kama jinsia tofauti najisikia vibaya sana na kukerwa na kile anachokifanya

NAONA KINYAAA.....
 
Sijui kama ni dini ama malezi ila Ninapokaa na mtu wa jinsia kama yangu alafu a-behave kama jinsia tofauti najisikia vibaya sana na kukerwa na kile anachokifanya

NAONA KINYAAA.....
Bas poleee sana.
 
Dar kwa ujumla sio mwananyamala tu, dar ni mji wa hanasa na starehe kwa kwenda mbele ,ukioa mwanamke mzuri ukiwa dar jiandae kisakolojia๐Ÿ™ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ