Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
Niliuliza ratiba ukaishia ku'like swali langu..Wana JF
Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe.
View: https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2
Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni.
Karibuni.
Paskali
Wengine umekuwa ukiwazika wapi?Wana JF
Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe.
View: https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2
Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni.
Karibuni.
Paskali
Tumewazika wana JF wenzetu wengi, ila hii ndio mara yangu ya kwanza tunazika mwanajf makaburi ya Kinondoni.Wengine umekuwa ukiwazika wapi?