Mtanganyika,
Kwanza i have to say kwamba am so please by both side of the debate. For those who debate about what Mpoki did for Tanzania, again I will say this. Kwanza as far as CV please don't expect ten pages for a 32-34 years old who spent most of his life to earn knowledge. However, as i mentioned before, the guy have substantial experience.
Hakuna mtu aliyetaka ten pages, labda yeye aliyetaka kuwekea mkazo ma stashahada ndiye anayetaka kuleta mambo ya ten pages.Watu hatutaki hata pages, maana Watanzania ni wazuri kwa presentation.Watu tunataka vitu vinavyoonekana kwa macho na kujiongelea vyenyewe. Mfano Obama alivyokuwa anacampaign kuwa state Senator huko Illinois alikuwa tayari kashafanya Community organization hapo Chicago, na watu walikuwa wanamjua kazi yake, alivyojihusisha na maisha ya watu wa kila siku.Hakutoka Columbia na Harvard kuja kutafuta uwakilishi wa watu eti kwa sababu yeye ni msomi wa Ivy League, ali ji prove kwa wananchi kwanza, wakamkubali, akaomba kura. Kuomba kura ni haki ya kila mtu, lakini kama kuomba mkopo, kila mtu ana haki ya kuomba mkopo, lakini mtoa mkopo ana haki ya kuangalia vigezo, aombaye mkopo ana uwezo wa kufanya kweli? Huko nyuma kashafanya biashara gani? Amekopa? Ameweza kurudisha mikopo ? etc
He returned to Tanzania last year, after over a decade mission of searching knowledge. He is strongly participated on formulate micro-finance and cost management strategies kwa wakina mama ambao ni wafanyabiasha wadogowadogo in rural Tanzania. Again to this moment he still volunteering consulting small business, farmers and wakina mama on business aspects.
Haya mambo ya micro finance haya ndiyo niliyokuwa nayataka. Mbona huna specifics sasa? Data za kazi yake ziko wapi? Alifanya kazi kama muajiriwa wa watu au kama independent consultant? Au alikuwa volunteer ? Kitu alichofanya hasa ni nini? Where are the figures ? Kawasaidia watu wangapi? Kufanya nini ? Inawezekana mna habari nzuri za kutuonyesha kizazi kipya cha viongozi hapa, tuelezeni vizuri msifiche vipaji. Au inawezekana mnaganga uongo bila data, tutawamulika.
Mpoki could chose to become a scholar in the west institutions and settled with substantial income, but he chose a different highway of participating toward Tanzania development.
Well and good, angechagua kuwa scholar huko west, watu wa west wana criteria zao za ku vet, wala sisi tusingemgusa. Lakini maadam kachagua kutaka ubunge nyumbani, na sisi tuna haki ya kuuliza ufanisi wake.Tanzania ya leo si ya kuwaimpress watu na paper qualifications, we need more than that.
I STRONG admire everyone who challenge either his background or experience. However, i challenge you as my JF family just research more about this guy.
Sasa wewe ndiye unayekuja kumuuza hapa, halafu wewe huyo huyo unatupa kazi ya ku research tena? Hivi huyu Mpoki akienda kujinadi anawaambia wananchi "research about me?". Kwa nini tum research yeye na tuache kumkubali mtu kama Mzee Kimbisa kwa mfano ambaye anaweza kutuambia amefanya kazi nzuri sana Tanzania Red Cross kusaidia katika majanga si Dar au Kinondoni tu, bali Tanzania nzima ? You gotta understand that as an underdog (non-incumbent Young-Turk at that) this guy does not have a political record, and he sounds like he is fresh out of school so I will not be surprised to hear even his corporate career is flimsy. Sasa tuambieni amefanya nini. Mtu mwenye uwezo na kipaji huhitaji kumfanyia research, kwa sababu vitu vyake vitajulikana tu, sikuhizi mambo unabofya tu. Kama jamaa ni mtu wa watu na kashafanya kazi na watu hata ki foto op kwenye gazeti moja au website moja kutuonyeshea hamna? Hata jina la organizations alizofanya nazo hizo microfinance projects hatuna? Hata sehemu za Tanzania zilipotokea hizo projects hamjaweka? Tufanye research tuanzie wapi jamani hamtupi hata sehemu ya kuanzia? Kweli ndivyo mnavyom kampainia mwenzenu hivyo?
Can he "delivered" indeed and not by mere words ? what has he delivered so far ?
Tanzania is hungry for leaders and people who can start running day one.
So far you haven't shown that he can crawl, let alone run from day one.
Humility is not a leadership qualification, it is a human characteristic.Tumeuziwa Kikwete kwa gia hizo hizo za humble, juzi kawatukana wafanyakazi kwenye a national audience.Don't give us that "humble" bs.Kwangu mimi ukianza kumuuza mtu kama humble I get a sense huyu ni mtu asiye na distinct qualifications.It is good to be humble, but this is a standard trait that any person can claim.Tuambie huyu ata add value gani? Na kashaprove kwamba ata add value hiyo kivipi ?
Kikwete naye walimsema hivyo hivyo, mbona parallels nyingi hapa ?
Experience yake nini hasa? Mbona hatujapata detail yoyote ?
90% of the country can claim this, how can he distinguish from the pack ?
We need people who will challenge the way things are going in Tanzania, and this guy is the agent of that.
What has he challenged ? If he is so much of a contrarian why is he going through the status quo ? Indeed, as an ambassadors son, he is the status quo, how can the status quo challenge itself ?
For all my friend who said CCM was the wrong move. Trust me to some-point i agree, but CCM is here to stay
So much for a challenge mindset and change agent. If people say Mr. Mwambulukutu is more of the same, what will you say ?
and samaki mmoja akioza methali doesn't apply here. Let us not punish strong and qualified candidates
Mbona mnataka kumsema kama ni "strong and qualified" wakati hata hamjatuonyesha strength zake na qualifications zake ni zipi? And please don't mention the degrees as qualifications, tuna Ivy Leaguers since 70's huko na angalia tulipo.
because of the EPA or Richmond mistakes. We need independent thinkers,
Sawa, huyu kaonyesha independency vipi? Mimi namuona kama maji kufuata mkondo tu, kama angekuwa independent thinker hata asingetaka kufuata mkondo wa baba wa kazi za kisiasa.Hujanishawishi kwamba huyu ni independent thinker.
and trust me some are in CCM and some are in Chadema.
Right now I am particularly focused on this one.
Let us combine this forces and move this nation forward.
Can you be specific? combine which forces?
We need every knowledgeable and humble leaders we can get.
As far as knowledgeable, you haven't demonstrated that your candidate is knowledgeable. As far as humility is concerned, it is one of the basics of humane traits, and doesn't necessarily qualify one for leadership. Actually people like Churchill used to have reservation about humility, some humble people have much to be humble about.
We don't have a lot of time to groom one at the time. We need as many potential leaders as possible.
Wewe ushaona ubunge ni sehemu ay ku groom watu sio ? Msitake kufanya uwakilishi wa watu kuwa stepping stone za ambitions zenu za baadaye.
But if we're going to act like Republican, means say no for everything that democratic put forward then the country will continue to be divided and those fresh eater will continue to enjoy easy ride.
That does not mean we should just take anything you dish out religiously, some of us question everything, even religion and indeed the existence of a godhead, so who is Mwambulukutu not to be probed closely ?