Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Siku mbili baada ya kuibua tuhuma za watoto 8 wenye umri kati ya miaka 6-8 kufanyiwa ukatili wa kingono na mwalimu wao katika Shule ya Msingi Global iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam zimetolewa siku 7 za uchunguzi wa kina wa tukio hilo.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amefika shuleni hapo na kutoa maelekezo hayo kwa Maafisa Ustawi Mkoa wa Dar kisha wampe ripoti ya idadi kamili ya watoto walioathiriwa na tatizo hilo.

Baada ya taarifa hizo wazazi wengine wamedai wamewahoji watoto wao waliofundishwa na mwalimu huyo mwaka jana, pia wapo waliokiri kufanyiwa vitendo hivyo na mwalimu huyo lakini walitishiwa kutosema.

Mwalimu huyo anatuhumiwa kuwabaka na kuwalawiti watoto hao ambapo baada ya kubainika Mei 25, 2022, wazazi waliwapeleka watoto Hospitali ya Mwananyamala.

Mapema kabla ya Waziri Gwajima kufika kituoni hapo baadhi ya wazazi walidai kuwa mtuhumiwa alikamatwa baada ya taarifa hizo kusambaa, lakini aliachiwa kwa dhamana na walipohoji waliambiwa mtuhumiwa ana tatizo la pumu.

Mzazi mwingine akihojiwa na ITV akasema baada ya sekeseke hilo baadhi ya walimu shuleni hapo wamekuwa na hasira na wanafunzi, ikitokea kosa kidogo adhabu inakuwa kubwa kwa mwanafunzi jambo ambalo wanaona si sawa.

Chanzo: ITV

Pia Soma: Dar: Mwalimu wa aliyetuhumiwa kulawiti mtoto wa miaka 6 azimia baada ya kuhukumiwa jela maisha
 
Ultimatum ya uchunguzi inaweza pelekea lipua lipua.

Wazazi wanasema wamehoji watoto wao miongoni mwao wapo watakaojibu kwa kua pressured na mob psychology.

Wazazi tujitahidi watoto wawe marafiki, waamini kwamba "Baba na mama watanilinda" Kwamba mtu hata akinitishia nikisema atanipiga basi "Baba na mama yangu watampiga zaidi"

Tunajisahau sana.
 
Tatizo sana.Kuna mmoja hapo huwa hadi "anatukuzwa"!Teh!
Tz tuna uelewa mdogo yanapokuja maswala haya.

Niliwahi mtembelea rafiki yangu Buza Kanisani akaniambia kuna jamaa anauza mishkaki ya hamsini au mia sikumbuki sawa sawa, anasema ikaja kuvuma kwamba jamaa anawapa watoto wa shule mishkaki kisha anawaingilia.

Wazazi wakampeleka jamaa polisi. Baada ya mwezi jamaa karudi anaendelea kuuza mishkaki na wazazi hawajapursue tena kilichotokea.

Ninahisi jamaa aliwalipa wazazi ndiyo maana hawakudeal tena na jamaa, lakini kama tunamuonyesha muuza mishkaki kwamba kosa hili ukilipa pesa unakua umelimaliza hii si ni kumfanya aone kumbe hii siyo shida as long as nina pesa
 
Ultimatum ya uchunguzi inaweza pelekea lipua lipua.

Wazazi wanasema wamehoji watoto wao miongoni mwao wapo watakaojibu kwa kua pressured na mob psychology.

Wazazi tujitahidi watoto wawe marafiki, waamini kwamba "Baba na mama watanilinda" Kwamba mtu hata akinitishia nikisema atanipiga basi "Baba na mama yangu watampiga zaidi"

Tunajisahau sana.
Kweli kabisa Mkuu, nimekuwa nikijitahidi kumwaminisha mwanangu kuwa Mimi Ni Mtu mkubwa sana hakuna yeyote anaweza mfanyia kitu kibaya ikiwa Mimi nipo, pamoja na kumfundisha kuriport Kila kitu pale anapofanyiwa ukatili au kupigwa na wenzake , hii inamfanya mtoto kumwamini mzazi wake na kumfanya ajue kuwa Mimi Ni Lord of the Lords
 
Siku mbili baada ya kuibua tuhuma za watoto 8 wenye umri kati ya miaka 6-8 kufanyiwa ukatili wa kingono na mwalimu wao katika Shule ya Msingi Global iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam zimetolewa siku 7 za uchunguzi wa kina wa tukio hilo.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amefika shuleni hapo na kutoa maelekezo hayo kwa Maafisa Ustawi Mkoa wa Dar kisha wampe ripoti ya idadi kamili ya watoto walioathiriwa na tatizo hilo.

Baada ya taarifa hizo wazazi wengine wamedai wamewahoji watoto wao waliofundishwa na mwalimu huyo mwaka jana, pia wapo waliokiri kufanyiwa vitendo hivyo na mwalimu huyo lakini walitishiwa kutosema.

Mwalimu huyo anatuhumiwa kuwabaka na kuwalawiti watoto hao ambapo baada ya kubainika Mei 25, 2022, wazazi waliwapeleka watoto Hospitali ya Mwananyamala.

Mapema kabla ya Waziri Gwajima kufika kituoni hapo baadhi ya wazazi walidai kuwa mtuhumiwa alikamatwa baada ya taarifa hizo kusambaa, lakini aliachiwa kwa dhamana na walipohoji waliambiwa mtuhumiwa ana tatizo la pumu.

Mzazi mwingine akihojiwa na ITV akasema baada ya sekeseke hilo baadhi ya walimu shuleni hapo wamekuwa na hasira na wanafunzi, ikitokea kosa kidogo adhabu inakuwa kubwa kwa mwanafunzi jambo ambalo wanaona si sawa.

Chanzo: ITV
Amisha mwanao hapo haraka
 
Yea kuvutiwa kingono na mtoto ni tatizo la akili.

Watu maarufu waliokua na tatizo hilo hapa Tz miongoni mwao ni Kanumba, Nguza Viking, Papii Kocha na ndugu zake
Una ushahidi gani kuwa Kanumba na yeye alikuwa miongoni mwa hao uliowataja?
 
Yea kuvutiwa kingono na mtoto ni tatizo la akili.

Watu maarufu waliokua na tatizo hilo hapa Tz miongoni mwao ni Kanumba, Nguza Viking, Papii Kocha na ndugu zake
Mtume Muhammad alibaka bint wa miaka 9
 
Yea kuvutiwa kingono na mtoto ni tatizo la akili.

Watu maarufu waliokua na tatizo hilo hapa Tz miongoni mwao ni Kanumba, Nguza Viking, Papii Kocha na ndugu zake
Huyo wa kwanza alipata alichokuwa anakitafuta ingawa mama yake huwa anajaribu kuhalalisha upuuzi wa mwanaye.Hawa akina Seya sijui wameacha ! Ila nao walipata malipo si haha ingawa Bwana yule aliwakaribusha ikulu.
 
Back
Top Bottom