Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi

Sheria ya Ubakaji inapaswa ibadilishwe, Adhabu ya anaye kutwa na Kosa la Ubakaji au Ulawiti kwa watoto wadogo iwe KUULIWA/KUNYONGWA HADI KUFA.

Maana mtu yeyote anaye lawiti/kubaka watoto chini ya umri wa miaka 18 huyo ni sawa na muuwaji.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Wewe unataka ushahidi gani?
Ushahidi wa mahakama, ushahidi wa watoto au wazazi ambao watoto wao walifanyiwa vitendo hivyo na Kanumba, lakini pia ushahidi wa kipolisi kuonesha kuwa wazazi au ndugu waliwahi kwenda kumshtaki Kanumba polisi juu ya hicho unachomtuhumu hapa. Bila ushahidi wa hayo niliyokwambia uweke hapa, basi shutuma zako zitakuwa ni uzushi tu kama ulivyo uzushi mungine.
 
Kwa uelewa wangu.
Kuna fani zingine huwezi kutoa "time limit", labda ingesemwa " uchunguzi wa kina ufanyike na wataalam maalum ili kupata ukweli"
Unaweza ukapasua kichwa badala ya mguu!!
 
Ushahidi wa mahakama, ushahidi wa watoto au wazazi ambao watoto wao walifanyiwa vitendo hivyo na Kanumba, lakini pia ushahidi wa kipolisi kuonesha kuwa wazazi au ndugu waliwahi kwenda kumshtaki Kanumba polisi juu ya hicho unachomtuhumu hapa. Bila ushahidi wa hayo niliyokwambia uweke hapa, basi shutuma zako zitakuwa ni uzushi tu kama ulivyo uzushi mungine.
Ok sawa
 
Back
Top Bottom