Pre GE2025 Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi hii si ndio ilifanya mwandishi wa hili gazeti la Lumumba akatimuliwa lakini Mama Abdully alishasema atapumzika?
 
Jamaa kwa mjadala unaoendelea Leo kuhusu mambo ya Muungano na hoja zinazotolewa Ikiwemo mifano mbalimbali ya watanganyika kupata changamoto Zanzibar Ikiwemo manyanyaso na umiliki wa ardhi, pamoja na Sheria za Zanzibar kua za kujitegemea, unahisi ulitumia akili katika Hili andiko lako? Au ulikosa projection ya 'hoja'
 

Kampita kwa kusafiri sana na ubadhilifu wa mali ya umma

Umeongea vema
 

Tanganyika iongozwe na watanganyika

Nataman sana Mpango au Kassim washike nchi 2025 ili nchi ianze kufufuka upya
 
Siyo ionekane,nikwamba kwa sasa hali siyo shwari chamani kuna fukuto la nguvu linaendelea
 
Sioni lugha yoyote ambayo Samia anaweza kuwaambia Watanganyika wakamwelewa juu ya uporaji ulifanywa kwenye bandari kupitia ule mkataba wa kishenzi kabisa wa DPW, uuzwaji wa mbuga za wanyanyama na hifadhi za misitu kwa Waarabu.

Kwa wapinzani, waombee CCM ibakie na Samia kama mgombea wake.

Nina hakika, kuna baadhi ya maeneo, wakati wa kampeni, Samia kutokana na alivyozitendea rasilimali za Tanganyika, ataishia kuzomewa.
 
Kama CCM wakimsimamisha Mwinyi I swear nitatumia gharama zangu kuzunguka nchi zima kumpinga kwa nguvu zote huyu jamaa ni mbinafsi toka tuko jeshini tunamjua pia ana ka udikteta anakokaficha. Huyu mama ni mstaarabu sana na ana utu pia kazalisha ajira nyingi sana kwa vijana.
 
ajiza za dp world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…