Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

Usitulee habari za mganga wa kienyeji kutoka misungwi...mchungaji ambaye hajengi Landis lake..
Kazi kula wasichana wa kanisani tuu
 
Sasa hivi siasa za chama changu ni bac hiki Shani nia CCM ni za kishamba mpaka naona aibu. Hivi hiki ni cha kusema kweli. Mara ngapi hupangwa watu wa kuanguka kushikwa uchawi na kuombewa?
 
Huyu binti atakuwa ni yule wa "phonorotica"
 
Gwajima ni kiumbe muongo na mjanja mjanja sana. Haaminiki hata kwa walau 1% tu!! Yaani tangu litokee lile tukio la kujirekodi akikata mauno ya Yondo Sister, sijawahi kumuamini tena!!

Jamaa alikataa mchana kweupe kiasi cha wadau wengi kutaka kuamini eti ilikua ni photoshop!! Na wakati muvi ilikua ni ya ukweli kabisa. Gwajimaaaaaa!!! Acha kuzingua.
 

Kwa 'Akili' ya Kawaida hili Tendo au hiki Kitendo ni lazima tu kitakuwa 'Kilipangwa' ili kuzudi 'Kumuinua' Askofu Gwajima Kisiasa na 'Kiumaarufu' tu.
 
Kwa ni kutaka kusema hizo ndizo salamu kwa kamanda Halima Mdee!? Jamaa anawakokota kweli wafuasi wake kama vile CCM inavyowakokota watu wasiojielewa.
 
Wanaomshabikia huyu jamaa akili zao zitakua fyatu.
 
Mkuu Oct twende na upinzani, Zanzibar maalim, Tanganyika Lissu
 
Ungemshauri aende Muhimbili akabidhiwe wodi hata moja tu tuone kama manesi kesho watapata muda hata wa kula kwa kuwa hakutakuwa na wagonjwa, wote watakuwa wapeponyeshwa na huyo mtu menu. Maana hospatili wanaohitaji kuziduliwa kutoka kupoteza fahamu kwa magonjwa wako wengi sana. Vinginevyo hilo ni tapeli tu ambalo tulivaa nalo barakoa wakati wa korona. Watu wa namna hii waliumbuliwa na korona hakukuwa na cha kukemea, kufufua, wala kufoka foka kama wehu, wote walipanga foleni kunawa maji yenye pombe (sanitizers). Nashangaa hadi leo kuna watu akili zao zimeshikiliwa na waongo wa kiwango hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…