screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Feb 7, 2023 #321 mkorinto said: Sijui wanywaji wanavichukuliaje lakini vinamuonekano kama wa sumu unatisha. Na kile wanaita kisungura. Click to expand... Mimi huwa najidunga navyo mara mojamoja bajeti ya Vant ikigoma
mkorinto said: Sijui wanywaji wanavichukuliaje lakini vinamuonekano kama wa sumu unatisha. Na kile wanaita kisungura. Click to expand... Mimi huwa najidunga navyo mara mojamoja bajeti ya Vant ikigoma
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 6,974 Reaction score 8,750 Feb 9, 2023 #322 Juma1967 said: Hiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana. NB: Vijana wanapoteza utu bila kupenda Click to expand... Chipo kidali MENDE
Juma1967 said: Hiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana. NB: Vijana wanapoteza utu bila kupenda Click to expand... Chipo kidali MENDE
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 2,616 Reaction score 1,282 Dec 4, 2024 #323 Huo mzigo bado upo?
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 3,983 Reaction score 10,034 Dec 4, 2024 #324 hip hop uchwara said: Huo mzigo bado upo? Click to expand... Achana nao, ile sio pombe bali ni madawa ya kulevya, kamoja tu unazima
hip hop uchwara said: Huo mzigo bado upo? Click to expand... Achana nao, ile sio pombe bali ni madawa ya kulevya, kamoja tu unazima
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Dec 4, 2024 #325 Mfumo ndiyo unapenda kuona watu wengi wakitumbukia huko Ova