Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Hiyo hata ukila vizuri hutoboi!!kinywaji gani cha bei nafuu ambacho ukinywa chupa 3, nadhani ni za 200mls, unakufa!!
Kwa hali ilipofikia kwa sasa ni lazima kiwanda hicho waangalie upya utengenezaji wake, na kisha wakibadirishe jina kabisa!!kwa sasa mtaani kinaogopwa sana, wamehamia kwenye smart gin.
Hicho wewe kula kiti moto kilo 2,na supu ya kongoro/mkia mzima juu, ukimaliza vi 3, baba jeni bai bai!!
Sio kweli
 
Hiki kinywaji pamoja na ile BINGWA viliwahi kumuua anko wangu mmoja uko mkoani,

Alimix DOUBLE KICK+ BINGWA akalewa na akavua nguo zote,
Alienda kujitumbukiza mtoni kupambana na mamba aliekua anakula ngombe wakivuka mto.

Kilichomkuta Aling'atwa kiuno,
Akaishia kufariki kwa majeraha makali miez miwili baadae[emoji2 cc
Chai
 
Kuna wanaume hawa hapa
PXL_20230207_105137092.jpg
 
Na mimi sasa naenda mwezi wa pili sijagusa, nilikuwa nikiangalia TV hata kama ni Channel ya kiingereza nasikia wanaongea kiswahili. Picha naona kama ni vitu vya kutisha sana mpaka mwili unasisimka, nikilala naona vitu vya ajabu inabidi nikeshe hadi asubuhi. Ikabidi nitandike daruga kwanza ili nijitafakari upya
[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom