Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanamaliza mkuu,Kimoja tu humalizi. Lazima unnye
Ukifanikiwa kumaliza Lazima unnyeKuna watu wanamaliza mkuu,
Ila me nimeshindwa kumaliza nimeku ywa nusu tuu na sijaitaka tenaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Smart gin nayo ni kali me ilinishinda Kama ilivyonishinda k vant, konyagi, double kik, rovella. alafu wewe ulichanganya sasa.!!!Hizi pombe nyeupe za bei ndogo sitaki kusikia.
Kuna siku nimetoka mishemishe nikanywa bia safari nne pale ubungo then nikawahi sehemu nyingine.
Nilipofika kama saa kumi jioni, nikawa na mzuka wa kuendelea kunywa ila kuna watu kama 6 wakawa wananisubiria niwafanyie kazi zao na deadline ilibakia siku mbili.
Kwa hiyo nikawa nafanya kazi huku nakunywa smart gin (wenyewe wazoefu wanaita sungura).
Mzuka ulivyopanda nikawa nakunywa tu kama maji.
Mwisho nikashituka kama saa kumi na mbili asubuhi nimekaa vilevile kwenye computer ikiwa ON, smartgin zangu zipo, simu zipo ila nilijigonga damu zilikuwa zimekaukiana hapa juu ya jicho.
Nataka kutoka, nakuta mlango umefungwa. Kucheki nje bahati nzuri nikamkuta mnywaji mmoja katoka kulewa, ndio nikamwagiza akanichukulie funguo nyingine mahali fulani aje anifungulie.
Baadaye saa mbili ndio wakafika wale clients wangu wakanambia bwana tulivyoona huwezi tena kufanya kazi, kwa usalama tukakufungia na funguo tukaweka dukani kwa Mangi ili akufungulie asubuhi.
ULEVI NOMA
Uzuri wa Bongo Don asubuhi unaamka vizuri kabisa bila gang over. Ubaya bei, chupa ndogo ujazo wa double kick 3000 ingawa kubwa ni bei ya kawaida 9000.Smart gin nayo ni kali me ilinishinda Kama ilivyonishinda k vant, konyagi, double kik, rovella. alafu wewe ulichanganya sasa.!!!
Pombe kali ninayoweza kunywa hata chupa ndogo 2 bila shida ni bongo don na han'sons choice baaas.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baunsa noma anakatikia dildoHiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana.
NB: Vijana wanapoteza utu bila kupenda
Serikali ni wazembe sana na wanajua kila kitu, anatumwa afisa kaguzi anafika mahali husika akitulizwa anaufyataKwan inakuaje hadi vinaingia mtaani wakati serikali mnasema inamkono mkali
Nimewahi piga tatu, nillizima na hata nilipopata fahamu nilikaa siku mbili hoi bin taabaniUnywe double kick 3 hujazima basi sawa
Kinywaji kikishakuwa na alcohol zaidi ya 7% hakiwezi kuitwa bia tenaKuna Guiness foregn extra ina vibe sena serengeti hawaitoi kwa wingi adimu kdg
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Pole sana hii kitu ilimuachisha pombe uncle wangu mmja alikua sugu kashindikana siku moja walikua wawili na mlevi mwenzie waka battle nani mkali wa hizo mambo kilicho tokea yule mlevi nwenzake alidondoka hapo hapo aka kata moto uncle wangu akapoteza uwezo wa kuona almost week nzima anaona ukungu alivyopona mpaka leo hagusi tena pombe yoyote
Na mimi sasa naenda mwezi wa pili sijagusa, nilikuwa nikiangalia TV hata kama ni Channel ya kiingereza nasikia wanaongea kiswahili. Picha naona kama ni vitu vya kutisha sana mpaka mwili unasisimka, nikilala naona vitu vya ajabu inabidi nikeshe hadi asubuhi. Ikabidi nitandike daruga kwanza ili nijitafakari upyaPole sana hii kitu ilimuachisha pombe uncle wangu mmja alikua sugu kashindikana siku moja walikua wawili na mlevi mwenzie waka battle nani mkali wa hizo mambo kilicho tokea yule mlevi nwenzake alidondoka hapo hapo aka kata moto uncle wangu akapoteza uwezo wa kuona almost week nzima anaona ukungu alivyopona mpaka leo hagusi tena pombe yoyote
Hiki kinywaji inabidi kipigwe marufuku mapema sana na Mamlaka za Serekali kabla hatujapoteza vijana wengi zaidi ambao ndio nguvu kazi ya TaifaHiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana.
NB: Vijana wanapoteza utu bila kupenda
Double kick kama chai tuMiezi hii ya barid Double kick inauzwa sana
Wateja wako wastaarabu Sana. Wangekuwa wengine wangeweza kujiongeza kukutatua marindaHizi pombe nyeupe za bei ndogo sitaki kusikia.
Kuna siku nimetoka mishemishe nikanywa bia safari nne pale ubungo then nikawahi sehemu nyingine.
Nilipofika kama saa kumi jioni, nikawa na mzuka wa kuendelea kunywa ila kuna watu kama 6 wakawa wananisubiria niwafanyie kazi zao na deadline ilibakia siku mbili.
Kwa hiyo nikawa nafanya kazi huku nakunywa smart gin (wenyewe wazoefu wanaita sungura).
Mzuka ulivyopanda nikawa nakunywa tu kama maji.
Mwisho nikashituka kama saa kumi na mbili asubuhi nimekaa vilevile kwenye computer ikiwa ON, smartgin zangu zipo, simu zipo ila nilijigonga damu zilikuwa zimekaukiana hapa juu ya jicho.
Nataka kutoka, nakuta mlango umefungwa. Kucheki nje bahati nzuri nikamkuta mnywaji mmoja katoka kulewa, ndio nikamwagiza akanichukulie funguo nyingine mahali fulani aje anifungulie.
Baadaye saa mbili ndio wakafika wale clients wangu wakanambia bwana tulivyoona huwezi tena kufanya kazi, kwa usalama tukakufungia na funguo tukaweka dukani kwa Mangi ili akufungulie asubuhi.
ULEVI NOMA
PoleMimi nikimaliza serengeti lite moja nakuwa nmejitahidi sana, sasa nyie wenzangu nawaona mko dunia yenu.